Usithubutu Kumpoteza Mwanamke/mpenzi Wa Kinyakyusa

Usithubutu Kumpoteza Mwanamke/mpenzi Wa Kinyakyusa

Dada yangu hakurogwa...walimroga ndugu yao (if they did)


ndio maana nakwambia unakurupuka kujisemea bila kutathmini mara nyingi ukiona mtu analogwa ugenini ujue yeye ndio kaanzisha tabia ya kuroga watu..... Binafsi siamin ushirikina na siwez kurogwa pasipo na kosa..... Yawezekana huyo ndg yako alianza kuchoma watu..... Wachunaji wa ngoz sio wanyakyusa kama hujui uliza uambiwe..... Unaweza kuusema uchawi kumbe ww ndio hamlali usiku mnakesha kwenye makaburi....... Ukitaka kujua ushirikina wa mbeya kawaulize wakinga watakwambia
 
Wachawi,Wachoyo,Malaya,Wana Kiburi,Wanajaza ndugu zao kwako,Wakabila na ni Wanafiki wakubwa siku ya kwanza wanakusalimia wanakaa chini kujidai wana nidham na maneno mengi ili ujue wakarimu ngoja wakuzoee hamna rangi utaacha ano,Nimewala sana pale Kyela kabla ya kuwastukia.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Labda wanyakyusa wengine sio Shangazi yangu aisee wife material Uncle wangu ndo alikuwa sio, Mungu akubariki shangazi
 
Mnyakyusa hata unipe bure na milioni moja juu sichukui ni malaya wa kupindukia,alafu wanatoroka na watoto hasa ukiwa sio kabila lake,alafu watoto wanapachikwa majina ya kinyakyusa na kuongea lugha ya kinyakyusa badala ya lugha ya baba.yaani hovyooooo! Mabasha zake watakuja hadi kwako unadangwa kaka zangu.nimewala sana wanyakyusa kama 21 nawajua sanaa! Alafu ni wanafiki.

Wanyakyusa na wewe nani malaya, unajisifia umewala kama 21 hilo kabila moja tu... Wanaume wegine mlistahili kuwa mibeberu


In this world nothing is certain than Tax and Death.
 
wacha waringe bhana, kwanin watangaze shida zao ili hali ni wahangaikaji? nawapenda sana kwa msimamo wao, wakitangaza shida wataonewa bure, dharau yao sasa, mbona utajihic kopo la choo

Na ndiyo maana ni nadra kumkuta msichana wa kinyaki anafanya kaz za ndani (kama beki 3)
 
Mimi nimeoa dada wa kinyakyusa ni mzuri sana hata mnyarwanda hafikii, tatizo lao ni kujifanya hawana shida kwao,. Ila kwa bidii na maarifa wanatisha

Hamna lolote huyo kaficha makucha,usicheze na kitu cha Rwanda wewe.....
 
Pakaja pa myetu nkafundo pa Pa Ipinda,lloli nkikulo komywabho ko Talatala!

Mmmh! Mma ngafu, keta ngambhona najumo ugwa kwa mpuna pamo bakajapo mno? Ngubhabhona jijumwe mwe mwa kwa kyela!
 
Back
Top Bottom