Usithubutu Kumpoteza Mwanamke/mpenzi Wa Kinyakyusa

Teh teh Dada umeolewa unyakyusani bila shaka,karibu wifi ...
 
Hivi huko matombo kuna shughuli yoyote inafanyika kutokana na jina lake? kwa mfano kwa bibi nyau anafuga sana paka, kwa mfuga mbwa kuna jamaa anafuga mbwa wengi sana, buguruni malapa wanauza kandambili....
Teh ndo kusema inafanyika shughuli gani?

Nilivyosikiaga +kusoma ni kwamba "matombo" maana yake ni matiti ya mwanamke. Kuna mawe yaliyogunduliwa huko mapangoni yapo kwenye shape ya matiti ya mwanamke, ndo hiyo sehemu ikaitwa matombo.
 
Kumbe[emoji6] [emoji6] [emoji6]
 
Daaah yani kila nikikuta watu wanaongelea wanyaki, huwa nakumbuka hiki kisa chako nachekaaaa
 
Eti dhalau! juu ya nini? Ka nyama tu ambako si hata robo? Hiyo papuchi tu ndo inawafanya muwe na kiburi!
 
Hamna kabila TZ hii kwa upande wa wanawake litafikia sifa nzuri walizonazo wanawake wa kichaga,msijidanganye,hao wanyakyusa ni chenga yaan ni bora hta uoe mzaramo ujue moja...
 
Kila utakachonnunnu atahitaji uandike jina lake . Hawa maharage mara moja atakuletea wanaume mpaka nyumbani. Fedha zake akatafutie kuleee heshima kwanza kHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Japo sura zao ngumu (kama za Baba zao) lakini wengi wamejaliwa WEZERE (TUNGAMO) na watundu sana kitandani tofauti na WACHAGA (Samahani lakini)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…