Nzowa Godat
JF-Expert Member
- Jun 15, 2011
- 2,785
- 824
"Sura ngumu" kivipi, kwamba hako kakibamia kanahitaji kusindikizwa na kidole, au? Teh teh.Kwa bahati ikatokea umepata mchumba/mke wa kinyakyusa. Usifikirie kumuacha maana ni watu wanajibidisha kutafuta pesa, pia kitandani wapo vizuri. Kasoro wana sura ngumu sana.
Mnyakyusa hata unipe bure na milioni moja juu sichukui ni malaya wa kupindukia,alafu wanatoroka na watoto hasa ukiwa sio kabila lake,alafu watoto wanapachikwa majina ya kinyakyusa na kuongea lugha ya kinyakyusa badala ya lugha ya baba.yaani hovyooooo! Mabasha zake watakuja hadi kwako unadangwa kaka zangu.nimewala sana wanyakyusa kama 21 nawajua sanaa! Alafu ni wanafiki.
Hahaha...duuhh mpare alikuona hufai kbs yan anapigwa mbele yako?Nishawahi kuwa na demu wa kinyakyusa nilimpendea ile injini ya pale nyuma ilivyokuwa kubwa sasa kunasiku akanikuta na kamchepuko kangu ka kipare hapo gheto duh yule demu alikuwa mbabe aisee sio kwa yale mabanzi mpare wa watu aliyachezea mpaka nawaachanisha alikuwa kalowa kwa nakozi na mimi full kutishiwa na kimwili changu nikapoa demu mbabe kama Van dame ila likuwa mtaaamu sana kwenye maswala ya mgegedano.
Sio wanajifanya, ndio walivyo hawataki ubabaishaji. Ungekuwa mwanaume unaempenda labda mngekuwa mmesogea hatua nyingine ya huo uhusiano. Mwache na kaka zake wivu tuKweli ni wachakarikaji na wanapenda kujitegemea, tatizo ni wanajifanya wababe na kutawala wanaume, na hilo la mabwana alafu wanajifanya ni kaka zake ndio balaa zaidi mm nimemwacha mmoja juzi tu hapa kwa swaga hizo za unamkuta katoka na bwana afu anakutambulisha ni kaka yake hawafai kabisa.
Huna lolote mchonganishi mkubwaaa!!Mnyakyusa hata unipe bure na milioni moja juu sichukui ni malaya wa kupindukia,alafu wanatoroka na watoto hasa ukiwa sio kabila lake,alafu watoto wanapachikwa majina ya kinyakyusa na kuongea lugha ya kinyakyusa badala ya lugha ya baba.yaani hovyooooo! Mabasha zake watakuja hadi kwako unadangwa kaka zangu.nimewala sana wanyakyusa kama 21 nawajua sanaa! Alafu ni wanafiki.
We ni kaka au Dada...nimechekaa mpaka nimekuaa ile ni Latin language a dead language ..duu au jamaa anatania??Is this English or something else can you rewrite so that we can understand ,
Yani ungejua kwa kiasi gani nakupenda wala usingethubutu kusema hivyoTatizo nikikusifia mbichwa unavimbaaaaa unaanza kutongoza kila anayepita, ndio maana nakuacha tu.
Dah nilijua ulifanya maujanja flan...Ha ha ha Mungu alinichagua.....😉
Ndaga fijooooo gwamyituWanyakyusaaaa!!!ni kabla no.Moja kwa ukarimuu Tanzania sema hawapendi madharau...mwanamkee Wa kinyakyusaa akikupendaa hata kodi atalipaa yeyee ila ukijifanya hamnazo mfano mlevi mvivu..mhuni haaa haaa utahama nyumba..heshima ndo anachopendaa woote mbaiwaponda wanyakyusaa hamuwajui..au ndo ile kugeneralize kwa mmoja wawili ambapo kwa makabilaa yoote mtakuita izo kasoroo...sifaa za wanyakyusaa...ukifiwaa wataubeba msiba wakoo utafarijiwaa wewe nakwambia ulizieni...ukizaa mtoto jamani utaletewa kila aina ya Chakula kwenye maharagwe mahindi mchele unga ilimradi kumjaribishaa mgeni..sasa mnaraka wawejee ukiwazingua obviously watakuzingua ila ukienda nae sambamba utaenjoy kama UPo heden...hata wanyakyusaa wakikutana ugenini au nchi nyingine lazima waunde umoha Na kuigeuza Tukuyu sehemu ile Na wakarimu Wa wageni au wenyeji watakaowakuta....ila sema kinginee Wameumbikaa jamani wamefungashaaa!!kwenye sura nzuri wakoo Na ya wastan wapooo....kwanza Mkoa wao full of foods..Shida ya ni ninii wametoka kwenye Neema!! Imbaragaa matokee mambatata....Wanyakyusaa thumb up!!!!!
Hahaaa mmebarikiwa kwenye uimbishaji baasiMkuu ukoo wetu umebarikiwa..Hakuna kalumanzira wala nn
Yani ungejua kwa kiasi gani nakupenda wala usingethubutu kusema hivyo
Usiseme hivyo bana..Utafanya shughuli zangu zote zisimameUmeanza uchawi wako sasa!! Love you more darling, ila sikupendi khaaaah!!
Usiseme hivyo bana..Utafanya shughuli zangu zote zisimame
Mfyuu ushindweBasi basi baba, love you sooo very many much!(kiinglish hiki alinifundisha Heaven Sent
Mfyuu ushindwe
Labda nilikufundisha kinyakiUnakataa kuwa hukunifundisha?