Duh aiseeee, we noma!! mkuu imekuwaje ukaja na conclusion hii?
Mi navojua wanyaki ni mojawapo ya makabila yanayojua ukabila kweli kweli, I mean hata kwenye mambo ya relationships wanapenda waoane wao kwa wao. Hii inapelekea mzunguko wa genes kubaki zile zile kizazi hadi kizazi, na kufanya community yao kufanana kwa kiwango kikubwa.
Kama lisemwalo ni kweli, basi kuna haja ya kuwashauri wapunguze kuzaliana wao kwa wao, changanyeni damu msiwe homogenous community kama wahutu au watusi. So wadau
Heaven Sent,
brenda18,
miss strong na wengine ichukulieni hii positively mhifanyie kazi kama ina mashiko anyway, kamateni wachumba makabila mengine kujenga sura za wanenu. Mi ningekuwa Ke akyanani pamoja na kuangalia me kwenye promising future ningeangalia pia sura bana, for the betterment of my kids. Kusema hakuna me mbaya ni kuidanganya nafsi ilihali macho yanaona tofauti ipo, tena kubwa tu.
Sista
atoto vipi
Kaboom wako ana uhendisamu japo kidogo? au umefuata hela tu hamna kitu....teh teh!!