Usithubutu Kumpoteza Mwanamke/mpenzi Wa Kinyakyusa

Usithubutu Kumpoteza Mwanamke/mpenzi Wa Kinyakyusa

A mnyakyusa woman. very enterprising hard work. very many words like mzaramo. hut not very good it give neighbour her household in private parts
not trustful enough.


Duuuuuuh! Mkuu nimependa kingereza chako !!!!!!!
 
Kweli kampeni si mpaka baada ya miaka mitano tuuuu
Hata hii ni moja ya kampeni za uchaguzi wa wanandoa cha kusikitisha nadhani haxijaratibiwa na sijui kama ustawi wa jamii na wasajili wa vizazi na vifo wanalitambua..

Kama wanajibidisha kutafuta hera ujue sifa hiyo ikitumika mchaga na muha hawataachwa pembeniii
Na kama kigezo kitakua cha kuweza mambo kitandani mi nadha hapo MAKAHABA hatutowaacha pembeni. Kwani naamini wao hua wanaweza na kaxi yoyote inahitaji uzoefu,, siamini kama kuna bilogical factor kwambs mnyakyusa automatikali ameumbwa awe mtundu kitandani ila lupitia mazoezi kadhaa dheni aba adapt ndio anakua mzuri kitandani ambapo mi naamini hajamfikia KAHABA ambaye amefuzu kwa mazoezi
Sijaona kama mtoa mada amekosea kusema, yeye ameona hivyo hao makahaba na wengine waanzishie thread yao.
 
Kyelaaa napakumbukaa.., patamu sana .. Mchepuko wangu upo Dar sasa..niliupata kwa tabu sana pale Kyela. Hadi leo tukikutana twakumbushia enzi..
 
Kyelaaa napakumbukaa.., patamu sana .. Mchepuko wangu upo Dar sasa..niliupata kwa tabu sana pale Kyela. Hadi leo tukikutana twakumbushia enzi..
Karibu tena kyela..
 
..i think hilo ndio kabila linaloongoza kwa watoto wa kike kuwa na sura za kiume!
 
Ha ha ha wanyakyusa. Kwanin wasiwe wangoni, wanyasa, wazaramo au ata wakurya. Mie najua mwanamke yoyote anaweza kuwa na tabia mzuri au mbaya. Pia kabila lolote linawezakuwa na wanawake wazuri wa sura ata wabaya pia. Kwamaana hiyo mtu anayesema wanasura ngumu ndo aliokutana nao. Lakin sio wote.
 
Back
Top Bottom