Usithubutu Kumpoteza Mwanamke/mpenzi Wa Kinyakyusa

Usithubutu Kumpoteza Mwanamke/mpenzi Wa Kinyakyusa

Wanyaki ndo wenyweeeee...dont hate, appreciate..subiri niwaambie viwili ambavyo ni kweli:
1. ni wabishiii ila ni kuvumiliana tuuu, mtaelewana
2. wako controlling kwa sababu historia ya kabila hili limejikita katika administration, wanyaki ni administrators in nature, iko katika damu yao.. cha kufanya ni kuelewana ili mpange mambo pamoja

wanyaki juuuu
 
Chobhaa singa syakompangila bhibhi asatosye ompopa!nndindwana olikogo?Olipo pa Mbwani?

Mi sio mnyakyusa ingawa nimezaliwa Meta hospital na kukulia Isanga. Hivi kwa nini huwa mnawachukia sana wasafwa na wao wanawachukia nyie?
Cc: Idimi, Baba V
 
Last edited by a moderator:
Mi sio mnyakyusa ingawa nimezaliwa Meta hospital na kukulia Isanga. Hivi kwa nini huwa mnawachukia sana wasafwa na wao wanawachukia nyie?
Cc: Idimi, Baba V

Wasafwa;wandali;wamambwe na wengineo wote hao ni makabila madogo madogo Mbeya!

Wanyakusa HATUCHUKII kabila lolote TZ labda wao kama wanatuchikia sisi!
 
Last edited by a moderator:
haa! Mwangalaba?? Ikhoombha mbombo jiliku? Khula bhalipo bha mwangalaba bhabhili??

Alipo pala tata gwangu!Abhanake bho Mwaipopo na nkikulu Timida!Tata gwangu asikobhomba embombo akangele fijo!
 
Wasafwa;wandali;wamambwe na wengineo wote hao ni makabila madogo madogo Mbeya!

Wanyakusa HATUCHUKII kabila lolote TZ labda wao kama wanatuchikia sisi!

Unaposema makabila madogo unatumia kipimo gani? Mimi mimecheza nao mpira hapo mbeya wanachukiana sana tu hadi wasafwa wanaita wanyakyusa 'wahondya' na wanyakyusa mnawaitajeee vile nimesahau. Kuprove hiyo ni vigumu sana ukute hizo kabila kuoana.

Unakumbuka miaka ya 80's kuna ule msemo wa kanga Bora msafwa mchafu kuliko mnyakyu ma.laya?
 
Hapo naongelea population wise!Nyakyusa ina cover for almost 100% majimbo ya uchaguzi ya Rungwe;Busokela na Kyela then for some how wapo kila Wilaya inayobaki hapa Mkoani Mbeya hasa Chunya wanazidi sasa nusu ya wakazi wote!
 
Naloli nkulumba, nasokile finja fingi
 
ndipo pa kiiso kwa bhaluguru na abhapogolo

Chobha alipo kaka gwangu hapo kabisa;jo Luten-kanali pi ijeshi Kizuka;nkeke fijo!
Lenga olena nongwa na bho Polisi omboleghe!ojo jo Kaka gwangu kabisa!
 
hahaaa! Etataa! Bammwegile kughu? Kumbwan pamo ulinagwe kukisu kya panja uko

Bhalipo pa Mbwani! miss strong nnuguna gwetu alena mahala fijo kangi muno mwa MMU akana nyambala;anaheshimu ndoa!Naloli kalumbu tulinagwe!Anatulindia heshima hapa!
Omenye bhakikuro muno bhingi fijo bhikobhomba sya soni?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom