Usithubutu kukutwa utajuta!(picha)

The Dude

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
1,029
Reaction score
464
Jamaa alikuwa mdogo na mpole kama sio yeye
 
Duh jamaa kawa mdogo anaomba mpaka msamaha hapo
 
Jamaa naona nyuma amekula tanganyika jeki . Hapo wakianza kumpeleka lazima atembelee kucha.
 
Jamaa naona nyuma amekula tanganyika jeki . Hapo wakianza kumpeleka lazima atembelee kucha.
...Ningekuwa mimi nikiwapuruchuka hapo ni wazi wataisoma tu...maana ni kasi ya BMW 5000Cc vumbi lake watasimuliana.
 
Wasiwasi wangu wanaweza kumuua dogo huyo na kutoa taarifa kwa umma kuwa dogo alikuwa na silaha. Mkilalamika sana nyie mliomuona akiwa bila silaha inaundwa tume ili kufunika kombe wanaharamu tupite, tukishapita taarifa ya tume inapotezewa vilevile. Wasipokuua wanakuibia kila kilicho mifukoni mwako. Sikuhizi Polisi sio mikono salama sana.
 
Unajua hawa jamaa ni wauaji ndo maana jamaa amekuwa mpole kihivyo, akijifanya mjanja anapata risasi ya moto halafu aliyemuua anapandishwa cheo.
 
dogo amesikia harufu ya damu kawa mpole.

kuwa mikononi kwa hawa jamaa ni heri kuwa kinywani mwa simba.:A S-confused1::frusty:
 


Polisi na unyama wao, yaani kijana mdogo hivyo si adhibitiwe na huyo askari dogo mwenzie, lakini angalia huyu afande mwenye mawe begani (sijui ndo cho gani hicho).
Polisi brutality has become rampant here of the late, making the police force (including their superiors) to be more brutal than that of the apartheid era in S. Africa.
Vijana hao hao watakija kuamua siku moja halafu ndo tutaona hayo mafunzo ya miezi sita pale CCP yanatosha kuwa makamnda wa kuzuia vijana wenye hasira.
 
Acha hawa polisi waache sura zao kwenye macho ya vijana halafu cha moto watakiona baadaye hawatasahaulika.
 
Lazima awe mpole maana anajua akifanya mzaha hapo anachezea kichapo
 
Chali roho inatamani ichomoke iuache mwili maana hapo risasi njenje kwa hao askari makunje noma
 
Jamaa ni wa st agustine

Umejuaje?Huyo ni wa muhimbili! Kwanza sauti hawajawahi kugoma,lini uliskia kanisa limegoma? Ila napenda wagome nao waione joto ya jiwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…