Usithubutu kufanya haya unapokuwa ugenini/ ukweni

Usithubutu kufanya haya unapokuwa ugenini/ ukweni

Kasema ugenini au ukweni....navojua ukweni kwa mwanaume sio sehemu ya kupazoea saana hata kama panakuwa kama kwenu labda kwenye makabila ya huko pwani ila kwa kina TATA mmh
Ukweni unapaswa kukaa kimachale,kusoma mazingira kila dakika uliyopo na kuwa mpole.Tabia za nyumbani kwako unapaswa kuziacha mlangoni kwako ulipotoka kwa kusafiri.
 
No. 6 hapo sipendi Mimi hizo kazi ndio maana sipendi kulala kwenye nyumba za watu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom