NakaziaJiepushe na mwanamke kabisa kama huna uhakika na uanaume wako.
Wamemzaa mtoa mada mjinga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio maana wengi wao wamewazaa nyinyi[emoji1787][emoji1787]
Ngoja waje marioooKwel kbs, wanaume weng tunakwepa majukumu et oh nahtaj mwanamke wa kusaidiana nae maisha afanye kaz, mwanaume kaml hakimbii majukumu
Daby upo kipenzi? Laiti kaka yako angetumia maneno ya mwelevu hapo asi ningedoda nduguyo!! Hata wa kunitia kidole nisingepata.Mkuu mbumbumbu inamaanisha nini?
Muongozo tafadhali mmeniacha nyuma.
Huu ndio ujinga wenyewe sasa umeshajitanabaisha hapa kwamba wewe ni mjinga........ Sasa we mwenyewe mjinga halafu hutaki mwanamke mjinga? Nani kakwambia ndege wasiofanana wanaruka pamoja? .....Unatombwa **** wewe.
ELIMU IPI NDUGU YA DARASANI AMA IPI?? AFADHALI YA MWANAMKE MWENYE HEKIMA NA BUSARA KULIKO MWENYE ELIMU MGOMVI KAMA SI MKOROFI, OMBA UPATIWE MWANAMKE MWENYE HEKIMA SI ELIMU, HEKIMA HAINUNULIA WALA HAISOMEWI, HEKIMA MTU HUZALIWA NAZO PAMOJA NA MAARIFA.Habari wanaJf. Ndugu zangu wana Jf na kwa vijana wenzangu ambao hamjaoa au mnaelekea kufunga pingu za maisha au bado mpo kwenye mchakato wa kutafuta mpenzi/ mchumba. Usijaribu kuanzisha uhusiano na wanawake wafuatao:
1. Mwanamke mpumbavu/ mbumbumbu.
2. Mwanamke aliyeachika/ mtalakiwa/ Single mother.
3. Mwanamke ambaye hana elimu.
Ukiangukia katika makundi hayo utateseka maisha yako yote.
Hili kweli..Habari wanaJf. Ndugu zangu wana Jf na kwa vijana wenzangu ambao hamjaoa au mnaelekea kufunga pingu za maisha au bado mpo kwenye mchakato wa kutafuta mpenzi/ mchumba. Usijaribu kuanzisha uhusiano na wanawake wafuatao:
1. Mwanamke mpumbavu/ mbumbumbu.
2. Mwanamke aliyeachika/ mtalakiwa/ Single mother.
3. Mwanamke ambaye hana elimu.
Ukiangukia katika makundi hayo utateseka maisha yako yote.