Sidai mzee..kwema?
Huku ni kurogana mchana kweupe. Kweli...!Duuh...yaaani kwa mfano hai hapa jukwaani ni nani ni mbumbumbu mkuu niweze kuelewa vizuri?
4.Mwanamke Mfupi, utanuniwa kila mda
Ahaaa haaa chagua mmoja, wapo wengi tuu kutokana na kuandika kwao. Yani mtu kwa uandishi wake tuu unajua huyu ni mbumbumbu.Duuh...yaaani kwa mfano hai hapa jukwaani ni nani ni mbumbumbu mkuu niweze kuelewa vizuri?
Mkuu hapo unazungumzia elimu gani maan mama zetu wengi hapa hawajasomaHabari wanaJf. Ndugu zangu wana Jf na kwa vijana wenzangu ambao hamjaoa au mnaelekea kufunga pingu za maisha au bado mpo kwenye mchakato wa kutafuta mpenzi/ mchumba. Usijaribu kuanzisha uhusiano na wanawake wafuatao:
1. Mwanamke mpumbavu/ mbumbumbu.
2. Mwanamke aliyeachika/ mtalakiwa/ Single mother.
3. Mwanamke ambaye hana elimu.
Ukiangukia katika makundi hayo utateseka maisha yako yote.
Mkuu hapo unazungumzia elimu gani maan mama zetu wengi hapa hawajasoma
awe mfupi halafu kibonge ka mtungi wa gas ya Oryx. mda wote anaona anadharauliwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]4.Mwanamke Mfupi, utanuniwa kila mda
Niliweka malengo kuwa sioi mtu ili aje aniongezee kipato;bali naoa mtu atakayenipa familia na kunifariji pale nitakapokuwa na magumu,kama vile ugonjwa,miangaiko au mikasa ya dunia.