kwambia mara amechoka mara tumbo linamuuma au anajisikia uchovu umuhurumie apumzikeWenye ndoa ebu nijibuni tafadhali, hivi kama mke hayupo period, wala hana discomfort yoyote, akitaka kukunyima unyumba huwa wanatumia maneno gani???
Haya maelezo hayatoshi mkuu...yaani sina mchepuko, nina genye alafu unasema umechoka??? labda anene kwa lugha.ana
kwambia mara amechoka mara tumbo linamuuma au anajisikia uchovu umuhurumie apumzike
hahaha!!Haya maelezo hayatoshi mkuu...yaani sina mchepuko, nina genye alafu unasema umechoka??? labda anene kwa lugha.
UMEFANYA NICHEKE KWA SAUTI MKUUHaya maelezo hayatoshi mkuu...yaani sina mchepuko, nina genye alafu unasema umechoka??? labda anene kwa lugha.
Cheka tu ila ukweli ndo huo mkuu.UMEFANYA NICHEKE KWA SAUTI MKUU
Haaahaaaa!, Umuhurumie Kwani Unampa Adhabu.ana
kwambia mara amechoka mara tumbo linamuuma au anajisikia uchovu umuhurumie apumzike
Aisee.. hiyo kitu ukiwa na hamu nayo halafu ukanyimwa akili huwa inahama kabisa na concentration kwenye mambo mengine huwa ni zero.Haya maelezo hayatoshi mkuu...yaani sina mchepuko, nina genye alafu unasema umechoka??? labda anene kwa lugha.
Ukiona Umenyimwa Tunda Ujue Ugomvi Bado Haujaisha, Inabidi Utafute Namna Nyingine Ya Kusolve Huo Mgogoro Kabla Ya Kuomba Tunda Tena.Habari!...
Kuna wanaume au wanawake wengi wakigombana tu na wake au waume zao huwa wanatabia ya kunyimana tunda.
Unapomnyima mwenzi wako tunda unasababisha madhara yafuatayo;
1. Kutafuta mchepuko
2. Kuyumba kiuchumi ndani ya familia. Kwasababu mara nyingi atatumia kiasi cha pesa kwa ajili ya mchepuko badala ya familia.
3. Madhara ya kisaikolojia kama msongo wa mawazo.
4. Ugomvi usioisha ndani ya familia. Hasa mmoja wenu anapokutana na mafundi wazuri wa nje ya ndoa.
Tafadhali wanajamvi unapogombana na mwenzi wako USISUSE KULA TUNDA.
"TUNDA NI TIBA MUHIMU SANA"
Nimechoka au sijiskii...Wenye ndoa ebu nijibuni tafadhali, hivi kama mke hayupo period, wala hana discomfort yoyote, akitaka kukunyima unyumba huwa wanatumia maneno gani???