SIMBA WA TARANGA
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 987
- 220
Confused by this thread. Bahati yako nimetoka church.:israel:
...Usitegemee ukweli wowote kutoka kwa Dk. Steven ulimboka.
...Kwanini?,
Hivi ungekua wewe ndio Dk. Ulimboka una sifa zifuatazo
...Labda una familia yenye watoto zaidi ya wawili, Mke pamoja na other relatives..
Hivi TISS wakisema au wakiku-hakikishia kuwa moja ya mtoto wako atakua kama bond ya
kulinda kilichotokea,
Kumbuka watoto au mtoto anaweza akawa framed kwenye ajali ya kugongwa na gari..
wewe kama baba unachukua move gani?.
NB
Swala hili ni la kufikirika ukilinganisha na chelikari yetu.
ulikuwa unategemea ninitena zaidi ya alichokiongea wakati akiwa ktk khali mbaya kiafya? soma mwanahalisi kwani limewasilisha kila ulitakalo
Japokua JF place ya ma GT, but huwa mnajidili mada kitoto sana.
Hivi!!, MMesahau sakata la Mwakyembe!!?, Sitta si alipiga kelele akishirikiana na vi-member uchwara humu kwamba
mwakyembe kaekew sumu, na akirudi ukweli utakua wazi!,
leo kiko wapi?!
Ushawahi kujiuliza kilichotokea?.
...Usitegemee ukweli wowote kutoka kwa Dk. Steven ulimboka.
...Kwanini?,
Hivi ungekua wewe ndio Dk. Ulimboka una sifa zifuatazo
...Labda una familia yenye watoto zaidi ya wawili, Mke pamoja na other relatives..
Hivi TISS wakisema au wakiku-hakikishia kuwa moja ya mtoto wako atakua kama bond ya
kulinda kilichotokea,
Kumbuka watoto au mtoto anaweza akawa framed kwenye ajali ya kugongwa na gari..
wewe kama baba unachukua move gani?.
NB
Swala hili ni la kufikirika ukilinganisha na chelikari yetu.
Japokua JF place ya ma GT, but huwa mnajidili mada kitoto sana.
Hivi!!, MMesahau sakata la Mwakyembe!!?, Sitta si alipiga kelele akishirikiana na vi-member uchwara humu kwamba
mwakyembe kaekew sumu, na akirudi ukweli utakua wazi!,
leo kiko wapi?!
Ushawahi kujiuliza kilichotokea?.
maisha ya ulimboka mbona mnayafuatilia sana? tatizo mnataka kitokee mnachotaka nyinyi na cyo kama jinsi ilivyo
Nakumbuka Mwakyembe alisema akirudi toka India angefunua kila kitu kuhusu afya yake. Hadi leo kimyaaaaaa!!!!
Uwaziri mtamu!!! But Dr. Uli is not a politician!!! Hahongeki ndiyo maana waliona bora wammalize but kama Mungu hakupanga hakuna wa kukua!!! He has to stay, for the sake of his family, especially his young kids and wife and for the benefit of all Drs. suffering low pay at the expense of poor investment constracts which do not cater for social security including employment benefits. Poor Tanzania, rich of natural resources but poor citizens dwelling on abject poverty!!! including your relatives, who you always portion your meagre income to support the poverty vicious cycle!!! We can not break it this way!!! We need a daring leader to do this, you and me are the object/agent for change, a change we desired for years.
Uwaziri mtamu!!! But Dr. Uli is not a politician!!! Hahongeki ndiyo maana waliona bora wammalize but kama Mungu hakupanga hakuna wa kukua!!! He has to stay, for the sake of his family, especially his young kids and wife and for the benefit of all Drs. suffering low pay at the expense of poor investment constracts which do not cater for social security including employment benefits. Poor Tanzania, rich of natural resources but poor citizens dwelling on abject poverty!!! including your relatives, who you always portion your meagre income to support the poverty vicious cycle!!! We can not break it this way!!! We need a daring leader to do this, you and me are the object/agent for change, a change we desired for years.
...Usitegemee ukweli wowote kutoka kwa Dk. Steven ulimboka.
...Kwanini?,
Hivi ungekua wewe ndio Dk. Ulimboka una sifa zifuatazo
...Labda una familia yenye watoto zaidi ya wawili, Mke pamoja na other relatives..
Hivi TISS wakisema au wakiku-hakikishia kuwa moja ya mtoto wako atakua kama bond ya
kulinda kilichotokea,
Kumbuka watoto au mtoto anaweza akawa framed kwenye ajali ya kugongwa na gari..
wewe kama baba unachukua move gani?.
BILA SHAKA WEWE NDIYE MTESAJI WAKE!