Haya ndo matatizo ya mtoto kuzaliwa kwenye familia ya walaji, yaani Baba anaondoka msosi ile mbaya ukija kwa mama nae hivyo hivyo unazani mtoto atakuaje????
Hapo unakuta huyo mtoto ndo anaanza kusafisha mdomo bado kuna kingine zaidi ili aweze kushiba!!!!!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.