Usitamani Chakula cha mtoto

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,850
155,804
581502_4752361885885_1687306390_n.jpg
 
Dogo anatabasamu kwanza kabla hajaanza kupiga mambo, utashangaa akimaliza analia aongezewe msosi
 
Haya ndo matatizo ya mtoto kuzaliwa kwenye familia ya walaji, yaani Baba anaondoka msosi ile mbaya ukija kwa mama nae hivyo hivyo unazani mtoto atakuaje????
Hapo unakuta huyo mtoto ndo anaanza kusafisha mdomo bado kuna kingine zaidi ili aweze kushiba!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom