Jikubali, ishi maisha yako halisi

totoadela

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
350
1,076
Kama hujui wanapotoa pesa basi usitamani maisha yao, usitamani matumizi yao, ishi maisha yako halisi ukiwa mwenye furaha, mwenye amani na afya tele!

Jikubali, usione watu wana furaha wengi hawana & wana-maumivu makubwa. Huku mitandaoni kila mtu ana kazi nzuri, biashara kubwa & nzuri, kila mmoja ni msomi & anaishi mjini, kila aliyepo huku amefanikiwa, hata kama kula/kulala yake ni shida!

Ishi maisha yako, Jikubali, Jikubali.

Muwe na siku njema
 
_20240130_073116.JPG
 
Mbona kama unatufokea wadau wa Jf

Maana humu Kila mtu kasoma ,ana gari ana nyumba ,usisahau pia kila mtu humu kitengo😃
 
Ngoja Watanzania wa tabaka la juu wakushughulikie....maaana wao haya uliyoyasema watakwambia waliyajua kipindi Cha chama kimoja
 
Kama hujui wanapotoa pesa basi usitamani maisha yao, usitamani matumizi yao, ishi maisha yako halisi ukiwa mwenye furaha, mwenye amani na afya tele!

Jikubali, usione watu wana furaha wengi hawana & wana-maumivu makubwa. Huku mitandaoni kila mtu ana kazi nzuri, biashara kubwa & nzuri, kila mmoja ni msomi & anaishi mjini, kila aliyepo huku amefanikiwa, hata kama kula/kulala yake ni shida!

Ishi maisha yako, Jikubali, Jikubali.

Muwe na siku njema
Husia kwa vijana wasimi wasio na ajira,pamoja na vijana bodaboda,na wacheza bahati nasibu za maisha ya kila siku bongo🤓
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom