Mkuu, usemayo yaweza kuwepo ama yasiwepo....Aliwazalo mjinga, ndilo humtokea....Usilolijua, lisikusumbue.
Mbona ni rahisi tu dadangu...aaah! Dunia sasa ni kojiji, waweza kusafiri popote kwa kidole gumba tuuu. Kama amekutokea kidume mwenye hiyo taswira.....na wew unahisi unashawishikaaa kuolewaaaa sema naye...mfamye ajieleze kirafiki tuuu....na ww utajiongeza. Na kama uko na nia haswa ya kuolewa....jiridhishe juu ya ayo alokueleza ikiwa ni sahihi. UKWELI UTAKUWEKA HURU...Kuamua uendelee ama usiendelee.
Usiishi na icho kidonda cha uoga..ilhali bado ungali vitani. MUHIMU "usibahatishe kuamua kuolewa na unamaswali moyoni mwako" hayajapata majibu kuhsu muhusika wako.