NajuaKusoma
Member
- May 8, 2017
- 81
- 60
Wadau mnasemaje maana najiuliza mzee wa Loliondo yukoje kipesa now au mmewasahau mauKiimwiii!!?
yan makucha ya shemelaMe naona atakayebuni dawa orijino ya nguvu za kiume atatajirika zaidi
Mukuu mie nshabuniaga Chashara asee na naajiri mitu yenye kuhesabu matareee!!We umebun nn kwanza
Wazee wa NYONYO a.k.a CHUCHU SAA SITA tupooo!!!?You have made me laugh!
Ila kwa hakika , atakayeigundua atakuwa tajiri mno, hiki ni kizazi cha laana kinapenda sana ngono.
Ndiko unakoelekea nini