Usiseme hatuna hela sema sina hela

MT255

JF-Expert Member
May 3, 2012
3,415
4,691
Dunia ya leo kama huna hela wewe usiwasemee watu etI hatuna hela...sema sina hela..
 
Attachments

  • 1402120595270.jpg
    1402120595270.jpg
    56.2 KB · Views: 1,211
Hebu niulize Hizo zote ni za Mtu mmoja na kama ndio humo ni kwenye Kontena au na kama ni kwenye kontena ndo zinaingia a nchini na kama ndio zinaingia zimesajiliwa huko huko nchini alafu Plate namba zikatumwa uko zilikonunulia au maana sielewi elewi Napita tu mi mgeni wa mambo Haya.....
 
Subiri naja maana umeamua kujitangaza mwenyewe ngoja tulete maajina ya wamiliki wa hayo magari!
 
Jamani hizo ziko parking nyumbani kwa mtu...kusave space ameamua aweke dizaini ya kushusha na kupandisha km lift
 
Subiri naja maana umeamua kujitangaza mwenyewe ngoja tulete maajina ya wamiliki wa hayo magari!

Jifanye kama unataka kulipia TRA utaona hayo majina kisha tuwekee hapo.Nadhani yatakuya ya mbia wa Riz1 au bosi wake Le Mutuz Davids Mosha maana ndiye mpenda sifa
 
naona kama ferrari. kuna porsche cjui bentley gt...nisaidieni nyingn mie nisiejua hiyo mikoko...
 
Dunia ya leo kama huna hela wewe usiwasemee watu etI hatuna hela...sema sina hela..

nakuunga mkono asilimia 100 ....unakuta mtu anapiga hesabu kujenga nyumba ya milion 50 tena hela hiyo huipati....wakayi huo huo mtu ana nunua gari la milion 100 la kutembelea tu..ni kweli kabisa usiseme hatuna hela sema sina hela
 
hebu niulize hizo zote ni za mtu mmoja na kama ndio humo ni kwenye kontena au na kama ni kwenye kontena ndo zinaingia a nchini na kama ndio zinaingia zimesajiliwa huko huko nchini alafu plate namba zikatumwa uko zilikonunulia au maana sielewi elewi napita tu mi mgeni wa mambo haya.....
hiyo ni digital parking boss wangu hizi gari zote zipo dar na zote zina mafile tra na yapo ok
 
...khaaa yaani jamaa kaanza na usajili wa "A" katupia kitu, ilipokuja "B" katupia mbili za hatari, kamalizia na "C" sijui ikija D ataleta kitu gani...??
 
nakuunga mkono asilimia 100 ....unakuta mtu anapiga hesabu kujenga nyumba ya milion 50 tena hela hiyo huipati....wakayi huo huo mtu ana nunua gari la milion 100 la kutembelea tu..ni kweli kabisa usiseme hatuna hela sema sina hela

Umenikera Sana!!! Unasema mtu anataka kujenga nyumba ya mil 50? hicho ndio kipimo cha mtu asiye na pesa kweli? kuna watu hawana pesa kabisa mkuu, hawana pesa hata kidogo!
 
Hizo royce rolls ghost na phamtom ndio zimenimaliza nguvu
Huyu ni mswahili gani anatisha kwa kiwango hiki
 
Back
Top Bottom