Usiseme hatuna hela...sema sina hela

Le Bilionea Le Mutuz na Super friend wake DGE Delina Group.
 
😀😀wakitokea watu wazima kumi Wa aina ya huyu mtu basi taifa litaangamia!!!
Umri huo anasimama mbele ya gari ya mtu mwingine anapiga picha!yataka moyo hivyo vituko
 
Sema huyu Delina ni jipu nae huyuu zile apartment sinza mori amejenga kwenye hifadhi ya barabara
 
Hana upartner wowote,mwenye mali ni RiZ1 hao wote wabeba mikoba tuu.Le mutuz kajipendekeza kama kawaida yake
Riz hana hata kumi kwa DELINA... Kamuulize Uhuru Kenyatta atakwambia Mosha ni nani
 
Dah haya bana GENTAMYCINE mzee wa Vx ni gari ila landcruiser ni usafiri njoo utuambie na hii ni nini
 
pesa si matako kila mtu awe nazo...hustle pekee ndio inaweza kukufanya umiliki vitu vizuri...
 
Huyo kubwa jinga anavyopenda kujikomba kwa watu wenye pesa inaelekea aliosha kwanza vyombo vya chakula ndani kwa bwana mkubwa ili tu aruhusiwe kupiga hiyo picha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…