Usiseme hatuna hela...sema sina hela

Na huyo aliyepigia picha nae? Au ni gari yake kajikwamua kwenye Noah, model ya kizamani
 
hizi ndio takukuru wamezitaifisha nini?
....powder,,,
 
Le mutu mukubwa.pembeni ya gari kubwa.
 
Hiyo gari niliisikia tangu mwaka habari zake,nasikia ilikuwa ya mtu ikamshinda jamaa kama kawaida yake na style ya mizoga iliyowashinda mafisi akaokota dodo,ngoma ikawa jinsi ya kulisajili, maana nasikia kodi yake ilikuwa ndeefu.
 
Kwa watz hunaweza kukuta owner ndio anaendesha mwenyewe,while inatakiwa uwe unaendeshwa halatu dereva kavaa vile vikofia kama vya askari
 
Amelipata kwakuwa kuna wazalendo wanadamka asubuhi na kuchapa kazi siku nzima kwa manufaa ya wote na taifa kwa ujumla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…