Usirudi kamwe, we tuma hela tu!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usirudi kamwe, we tuma hela tu!!!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by alph, Sep 5, 2012.

 1. a

  alph Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  :A S cry:Wanajamii, hebu angalieni habari hii ambayo nimeinukuu word by word.

  KIJANA MMOJA AKIWA MASOMONI INDIA ALIMPIGIA SIMU MAMA YAKE AKAMPA TAARIFA KUWA VIPIMO VIMEONYESHA ANA UKIMWI (HIV POSITIVE)

  MAMA YAKE AKAMWAMBIA;
  "MWANANGU POLE SANA ILA NAKUOMBA USIRUDI KIJIJINI KABISA KWA SABABU:

  1. UTAMWAMBUKIZA MKEO
  2. MKEO ATAMWAMBUKIZA KAKA YAKO
  3. KAKA YAKO ATAMWAMBUKIZA HOUSEGIRL
  4. HOUSEGIRL ATAMWAMBUKIZA BABA YAKO
  5. BABA YAKO ATAMWAMBUKIZA DADA YANGU
  6. DADA YANGU ATAMWAMBUKIZA MUME WAKE
  7. MUME WA DADA ATANIAMBUKIZA MIMI
  8. MIMI NITAMWAMBUKIZA DEREVA WETU
  9. DEREVA ATAMWAMBUKIZA DADA YAKO
  10. NA NINAVYOMJUA DADA YAKO ATAAMBUKIZA VIJANA WOOOOOOTE HAPA KIJIJINI KWETU NA VIJIJI VYA JIRANI NA MWENDELEZO WAKE NITAKUANDIKIA SIKU NYINGINE KAMA UKIKUBALI KUTORUDI.

  HIVYO BASI KUKINUSURU KIJIJI CHETU NA FAMILIA BAKI HUKO HUKO WE TUMA HELA TU.
   
 2. steveslove

  steveslove Senior Member

  #2
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 18, 2012
  Messages: 110
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  heeeeeeeeeeeeee hyo cheni?!! kweli tupo wangapi?? tulizanaaaa!!
   
 3. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,898
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  bk au?
   
 4. Zabibu

  Zabibu JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 256
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  duuuh!iyo kali
   
 5. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #5
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,220
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  ila this is very serious.
  tupo wangapii? tulizaneni jamani.
   
 6. unknown animal

  unknown animal JF-Expert Member

  #6
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 18, 2012
  Messages: 339
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hilo bushi limeendelea,kuna hadi housegirl dah,bt the truth is tuwe makini
   
 7. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #7
  Sep 5, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,265
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  hizo kampeni za tulizana...watu wanatunga miradi ili wale hela,,,ni nature ya watu toka zamani hawatulii,we unategemea huyo mtu aje atulizwe leo na tangazo?....waanze na watoto wanaokua waliopo mashuleni ndo itapunguza rate ya kutulia,vinginevyo,,,,wanapiga marktime.......nimechanganya habari,lakini lengo langu,,,ujumbe ufike
   
 8. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #8
  Sep 5, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 555
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mmmmm hyo ni kazi ni kwako kama mtandao wa voda?
   
 9. KML

  KML JF-Expert Member

  #9
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 862
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 33
  mkuu imekutokea nini
   
 10. LADY H

  LADY H Member

  #10
  Sep 5, 2012
  Joined: Nov 26, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  nahisi kama 2ko kumi 2uu
   
 11. M

  MTENDAHAKI JF-Expert Member

  #11
  Sep 6, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,822
  Likes Received: 766
  Trophy Points: 280
  Kabila gani hao!
   
Loading...