clet 8
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 1,127
- 322
Hahaha ........!Hawa sasa ndio majambazi kabisa... Yaani sina ham nao kabisa!! Bandle linafyekwa utadhan sim imetoboka!!
Pole.
Hahaha ........!Hawa sasa ndio majambazi kabisa... Yaani sina ham nao kabisa!! Bandle linafyekwa utadhan sim imetoboka!!
Airtel ndo mpango mzima nimejiunga jana gb 2 dak 110 sms unlimited kwa siku tatu
mpaka saivi nimesha shusha 900 mb speed iko poa tu
unajiunga vipiMimi natumia airtel kwa ajili ya kupiga simu kifurushi cha elfu kumi mwezi mzima unlimited, kwa data natumia halotel full stop
Kwa mwanza airtel ipo vizuri kwenye internet.kwenye simu? haiwezekani.landa huko mikoani. kwa hapa town dar,jijini mi imegoma kabisa kwenye simu.tena afadhari kwenye modem kuliko simu ni mbaya zaidi
kumbe wewe ni wa darisalam basi hamia tu huko ttcl hii airtel imeshakuwa ya watu wa mikoanikwenye simu? haiwezekani.landa huko mikoani. kwa hapa town dar,jijini mi imegoma kabisa kwenye simu.tena afadhari kwenye modem kuliko simu ni mbaya zaidi
Uko wapi?
Location matter.
Uko mkoa gani mkuu!?
Hahaaaaaaa yaani matatizo ya Airtel unamwamishia MaguTangu Magufuli awe Rais na ndipo airtel ilipoanza kuwa slow papo hapo, niliamua kuihamishia laini kwenye nokia torch kwa ajili ya kupiga tu basi maana hata meseji wanazinguaga sometimes unatuma txt haifiki inahang tu hewani...kwenye data TTCL wako vizuri sana and I've noticed wana coverage kubwa ya 4G hapa Dar na inaspeed kubwa sana. Mimi huwa nadownload HD movies na series (1080p) au 4K videos kwa TTCL kwa muda mfupi sana iko vizuri sana. Airtel business ilianza kuwashinda maana tangu waliposikia hapa "hapa kazi tu" wao walienda kulala mpaka leo, so far Airtel is the poorest network ever
Mkuu unajiungaje hivi kile cha siku tatu bado kipo mkuu? Kupitia airtel money au mpka ununue zile vocha za uni255Airtel ndo mpango mzima nimejiunga jana gb 2 dak 110 sms unlimited kwa siku tatu
mpaka saivi nimesha shusha 900 mb speed iko poa tu
Kwa buku tu!!Airtel ndo mpango mzima nimejiunga jana gb 2 dak 110 sms unlimited kwa siku tatu
mpaka saivi nimesha shusha 900 mb speed iko poa tu
Kupitia airtel money!Mkuu unajiungaje hivi kile cha siku tatu bado kipo mkuu? Kupitia airtel money au mpka ununue zile vocha za uni255
yah ni buku tuKwa buku tu!!
Kasimu chako katakuwa 2g Airtel 2gb 110dk sms bila kikomo natumia ndani ya siku 3 speed si ya kuhoji labda kama unaishi shimoni.nimehamia Airtel mtaa wa 7Usirogwe Kujiunga na Kifurushi cha Airtel. Utajuta kupoteza pesa mbayo ungempa Maskini angekuombea Kheri. au ni bora ununue maziwa unywe. ni bora ununue juice unywe. airtel wamekuwa wahuni wezi na watu wa hovyo. kifurushi chao kwenye simu hakifungui hata google. kita search kwa muda mrefu sana na kikija kukubali kitakwambia page not found. kimekuwa cha hovyo sana.
huwezi kudownload au ku update.kiuhalisia wamekuwa wezi na wizi wao naona kama umehalalishwa maana wanaendelea kutuibia huku nasi tunangaalia. kwa sasa naona mtandano ambayo speed yake si haba umekuwa ni tigo mimi ndo hunisaidia. NIMEJARIBU KUTUMIA AIRTEL NIKIWA POSTA, NIKIWA MWENGE,NIKIWA KIJITONYAMA,NIKIWA TABATA KOTE ninafail sana. kila wakati mtandao hauwezi kufungua JF,hauwezi ku upload au hata kufungua FB ,hauwezi hata kutafuta kitu Google.
najiuliza nini tatizo? maana before nlidhan ni simu nimenunua simu nyingine bado hali ni ileile. hizi pesa zangu walizochukua ntarudishiwa vipi au nijirudishie vipi?
Pole sanaHawa sasa ndio majambazi kabisa... Yaani sina ham nao kabisa!! Bandle linafyekwa utadhan sim imetoboka!!