Usirogwe Kujiunga na Kifurushi cha Airtel. Utajuta kupoteza pesa mbayo ungempa Maskini angekuombea Kheri.

Mimi siku zote nimekuwa najiunga na Uni ile ya 6000 napata dakika na 4 GBs kwa mwezi.. mbona haijawahi kunisumbua? zaidi ya miaka 3 sasa nimekuwa natumia hii huduma
 
kwenye simu? haiwezekani.landa huko mikoani. kwa hapa town dar,jijini mi imegoma kabisa kwenye simu.tena afadhari kwenye modem kuliko simu ni mbaya zaidi

Airtel ndo mpango mzima nimejiunga jana gb 2 dak 110 sms unlimited kwa siku tatu
mpaka saivi nimesha shusha 900 mb speed iko poa tu
 
kwenye simu? haiwezekani.landa huko mikoani. kwa hapa town dar,jijini mi imegoma kabisa kwenye simu.tena afadhari kwenye modem kuliko simu ni mbaya zaidi
kumbe wewe ni wa darisalam basi hamia tu huko ttcl hii airtel imeshakuwa ya watu wa mikoani
 
Tangu Magufuli awe Rais na ndipo airtel ilipoanza kuwa slow papo hapo, niliamua kuihamishia laini kwenye nokia torch kwa ajili ya kupiga tu basi maana hata meseji wanazinguaga sometimes unatuma txt haifiki inahang tu hewani...kwenye data TTCL wako vizuri sana and I've noticed wana coverage kubwa ya 4G hapa Dar na inaspeed kubwa sana. Mimi huwa nadownload HD movies na series (1080p) au 4K videos kwa TTCL kwa muda mfupi sana iko vizuri sana. Airtel business ilianza kuwashinda maana tangu waliposikia hapa "hapa kazi tu" wao walienda kulala mpaka leo, so far Airtel is the poorest network ever
Hahaaaaaaa yaani matatizo ya Airtel unamwamishia Magu
 
Airtel unanunua GB 10 baada ya nusu saa unaambiwa kimeisha yaani ni kampuni ya ajabu ..
Lakin badala ya kulalama mtandaoni nataka kuwashtaki kweli serious
 
Airtel ndo mpango mzima nimejiunga jana gb 2 dak 110 sms unlimited kwa siku tatu
mpaka saivi nimesha shusha 900 mb speed iko poa tu
Mkuu unajiungaje hivi kile cha siku tatu bado kipo mkuu? Kupitia airtel money au mpka ununue zile vocha za uni255
 
Natumia airtel kile kifurushi cha usiku cha gb 10. Kusema ukweli huwa na download mizgo ya gb 18 kwenda juu na airtel haijawah kuniangusha kwenye hii kitu, itakua labda inategemea na sehem uliopo m nko dar na airtel iko vizur tu wadau.
 
Usirogwe Kujiunga na Kifurushi cha Airtel. Utajuta kupoteza pesa mbayo ungempa Maskini angekuombea Kheri. au ni bora ununue maziwa unywe. ni bora ununue juice unywe. airtel wamekuwa wahuni wezi na watu wa hovyo. kifurushi chao kwenye simu hakifungui hata google. kita search kwa muda mrefu sana na kikija kukubali kitakwambia page not found. kimekuwa cha hovyo sana.

huwezi kudownload au ku update.kiuhalisia wamekuwa wezi na wizi wao naona kama umehalalishwa maana wanaendelea kutuibia huku nasi tunangaalia. kwa sasa naona mtandano ambayo speed yake si haba umekuwa ni tigo mimi ndo hunisaidia. NIMEJARIBU KUTUMIA AIRTEL NIKIWA POSTA, NIKIWA MWENGE,NIKIWA KIJITONYAMA,NIKIWA TABATA KOTE ninafail sana. kila wakati mtandao hauwezi kufungua JF,hauwezi ku upload au hata kufungua FB ,hauwezi hata kutafuta kitu Google.

najiuliza nini tatizo? maana before nlidhan ni simu nimenunua simu nyingine bado hali ni ileile. hizi pesa zangu walizochukua ntarudishiwa vipi au nijirudishie vipi?
Kasimu chako katakuwa 2g Airtel 2gb 110dk sms bila kikomo natumia ndani ya siku 3 speed si ya kuhoji labda kama unaishi shimoni.nimehamia Airtel mtaa wa 7
 
Back
Top Bottom