Usirogwe Kujiunga na Kifurushi cha Airtel. Utajuta kupoteza pesa mbayo ungempa Maskini angekuombea Kheri.

Piga hii namba mkuu *149*81# then chagua namba nne UNNi255 mpya then utachagua cha siku hapo utaweza kununua 1.2gb kwa siku kwa 500

Hii ni mpaka uwe mwanachuo au uwe eneo la chuo...?

Na unajiunga kwa vocha za kawaida kwa salio lililopo au mpaka uweke Airtel money mkuu...?
 
Tumia voda
Kwakweli aamue kuishi bila wasiwasi. Kipanya tangu awe Vodacom hana zogo.

voda4.png
 
Hii ni mpaka uwe mwanachuo au uwe eneo la chuo...?

Na unajiunga kwa vocha za kawaida kwa salio lililopo au mpaka uweke Airtel money mkuu...?
Vocha ya kwaida na sio lazima uwe mwanachuo na unajiunga popote
 
Dhaa mbona lain yangu nikipiga iyo menyu ya *149*81# inanigomea inaniletea hii sms
7a2379b41ddd0aa5485eec61fd3004bf.jpg
 
Hizo simcard za
Tangu Magufuli awe Rais na ndipo airtel ilipoanza kuwa slow papo hapo, niliamua kuihamishia laini kwenye nokia torch kwa ajili ya kupiga tu basi maana hata meseji wanazinguaga sometimes unatuma txt haifiki inahang tu hewani...kwenye data TTCL wako vizuri sana and I've noticed wana coverage kubwa ya 4G hapa Dar na inaspeed kubwa sana. Mimi huwa nadownload HD movies na series (1080p) au 4K videos kwa TTCL kwa muda mfupi sana iko vizuri sana. Airtel business ilianza kuwashinda maana tangu waliposikia hapa "hapa kazi tu" wao walienda kulala mpaka leo, so far Airtel is the poorest network ever
Hizo simcard za TTCL 4G zinapatikana wapi.?
 
Hizo simcard za

Hizo simcard za TTCL 4G zinapatikana wapi.?

Ukishafanikiwa kupata sim card, bado na vocha zao kuzipata ni adhabu kubwa sana mkuu.

Sijajua wananunuaje hawa wanaotumia labda watuambie hapa.

Thanks.
 
Mtandao pekee kwenye maswala ya internet ni TTCL hao ndo wana 4G ya kweli yenye kiwango cha kimataifa wakifatiwa kidogo na Vodacom(consistency they #1), Tigo ni wazee wa marketing tu hamna kitu.. Halotel are average... Airtel is a true definition of cheap is costing...
 
Mi nadhani ni kutokana na eneo mkuu,kwa eneo nilipo naikubali kasi ya 4g ya tigo kupita maelezo mitandao mingine ni mwendo wa konokono tigo uwa inateleza tu,kama nateremka mlima kitonga
 
Ukishafanikiwa kupata sim card, bado na vocha zao kuzipata ni adhabu kubwa sana mkuu.

Sijajua wananunuaje hawa wanaotumia labda watuambie hapa.

Thanks.
TIGO PESA, MaxMalipo, Selcom na Banks nyingi Vocha Bwerere
 
Back
Top Bottom