Usirogwe Kujiunga na Kifurushi cha Airtel. Utajuta kupoteza pesa mbayo ungempa Maskini angekuombea Kheri.

Mimi niko Mbeya mara ya mwisho kufurahia data ya Airtel ilikuwa mwaka 2014 walikuwa ndiyo wenye speed bora kabisa ya data,toka 2015 hadi Leo uzeufu wangu ni sawa kabisa kama mtoa mada.Nilikuwa nadhani labda tatizo ni langu tu kumbe tupo wengi.kwa sasa na vinjari na Halotel au ttcl kwa data kupiga na kupikea Tigo na Voda.
 
Airtell
1.2Gb, 50Calls,Unlimited sms all for 500
Nashangaa mnaolalamika airtel huku home full speed yan kama ntumia 4G vile
 
Mwenyew ishanitoke niliunga niangalie ball online....lkn nilijikuta baada mda mfupi game kuanza nanunua bando za hallotel....mwanz nilichukua airtel sababu ya gharama ndogo
 
Kwa nn mbona wanatoa gb nyingi tu... Kwa mfano wana gb 10 kwa sh 10000 siku 15
Hii unafanyaje chief?natumia voda daily bundle 2,000/= kwa 1GB nahisi hii itanisaidia.mwanzo nilikuwa mgonjwa wa airtel ila nimewama kwa ugoi goi wao.
 
Kweli, mimi pia nimeninua line ya airtel, kilasiku ukiweka kifurushi unaambiwa utapata 100MB za youtube. Ukijaribu kuitumia unapoteza muda. Haifanyi kazi.
Nakuelewa unachosema
 
Tatizo ni nini?? Siekewi kwanini viongozi wetu hawapatiwi matibabu ya afya ya akili...

Hivi karibuni bomoabomoa ilipita mabondeni, baada ya majaribio kadhaa ya kuwanusuru wakazi wa mabondeni na kuwapa fidia. Leo hii watu wanajenga tena na viongozi wetu wanaangalia mpaka wajazane tena na the innevitable kutokea turudi ambako tulidhamiria kutoka kwa gharama kubwa. Hebu tafakari....
 
najaribu ku imagine ulivyochukia baada ya airtel kukuzingua, maana kwa jinsi ulivyoandika duuu
 
Naunga hoja, airtel wanaboa kweli kwenye vifurushi vya internet, nimekuwa nikijiuliza ninanunuaje mb 150 halafu zinaisha kwa dakika 10 tu bila kudownload wala kuupload chochote mtandaoni wakati mwingine najiuliza hivi hawa si WANAHUJUMU UCHUMI. AIRTEL MNATUIBIA SANA.
 
Airtel ni majambazi kabisa, kuna laini zao wanaziita za chuo ndo balaa kabisaa nilinunua moja nikajiunga internet 1.2gb/day kwa 500/ haifungui chochote hata fb nikaitupa siku hiyo hiyo,voda na tigo wako vizuri ila nao mb zinaisha haraka sana bora halotel
 
Kweli labda dar. Mikoa mingine wapo vizuri sana kuliko tg na voda. lakini sio kama halotel, Halotel wapo juu.
 
Ni
1gb kwa jero cha chuo
800 Mb kwa 500 masaa 24 Yakhe.
Hiyo 1Gb umeitoa wapi?
1505765064117.jpg
1505765106970.jpg
1505765144425.jpg
 
Back
Top Bottom