Usiri wa Serikali-Government Gazette: Make it Public!

mkuu inaonyesha hulifahamu gazeti la serikali ndio maana unaweza kutoa ushauri wa kuligawa bure kwa wananchi lakin nakuhakikishia hata kwa baadhi yetu ukipewa halitakusaidia sana kwa sababu information zilizoko ziko specific na kwa watu specific.

wewe kama unataka kujua nini kipo kwenye government gazzette (mfano sheria fulani basi unamtafuta mwanasheria anakuelza)

 

Mkuu ni kweli.. POLIS au Parliament On Line System inasaidia sana kupata hata miswada inayowasilishwa bungeni..POLIS ina data nyingi tu hasa za Bunge na Wabunge na kinachoendelea bungeni ikiwa ni pamoja na michango ya wabunge wawapo in session.. ukitaka kuona how effective ur rep is that is the place to visit...wanaokaa kimyaa miaka yote 5 pia utapata habari zao hapo.Tatizo ni wananchi wangapi wana access to the POLIS au hata information?
 
Ahsante kwa ufafanuzi lakini kama inachapishwa kwa ajili ya watumishi wa serikali na 'wadau wengine muhimu' kwa nini liuzwe katika duka la vitabu ambalo ni public? Nafikiri hata regulations zinazofafanua utekelezaji wa sheria mbali mbali zinakuwemo kwenye GG. I would have thought this should be easily accessible to the public?!
 
Licha ya kwenye maduka ya vitabu vya serikali, gazeti la serikali pia huwa linapatikana kwenye maktaba zote za mkoa, tena hapo unaweza kujisomea matoleo mengi tu mapya na ya zamani upendavyo.
 

Serikali ni Watu!

Mara nyingi watu wengine wameingia matatani kutokana na jambo kuchapwa kwenye "gazeti la Serikali" ambalo hufanywa ni siri na hivyo Wananchi kutokujua haki zao au mipaka ya mambo fulani fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…