mkuu inaonyesha hulifahamu gazeti la serikali ndio maana unaweza kutoa ushauri wa kuligawa bure kwa wananchi lakin nakuhakikishia hata kwa baadhi yetu ukipewa halitakusaidia sana kwa sababu information zilizoko ziko specific na kwa watu specific.
wewe kama unataka kujua nini kipo kwenye government gazzette (mfano sheria fulani basi unamtafuta mwanasheria anakuelza)
wewe kama unataka kujua nini kipo kwenye government gazzette (mfano sheria fulani basi unamtafuta mwanasheria anakuelza)
gazeti hili linalenga kuwafahamisha wananchi kuhusu maamuzi yanayofanywa na serikali, kwa nini liuzwe wakati wananchi wanalipa kodi? Lichapwe kwa wingi na ligawiwe vijiji vyote, achilia mbali kwenye maduka ya serikali. Kuanza kuliuza ni kuwatenga wananchi wengine ambao nao wana haki ya kujua serikali yao imefanya nini. kwani serikali si ilishasema imeachana na biashara?!?