ARIUS MZUSHI
JF-Expert Member
- Jun 18, 2017
- 272
- 110
Ni kwa sababu wengi wamevaa ushabiki wa kijinga jinga namna hii
Kwanini kila anayehoji anahusishwa na chama?
Kwanini kila anayehoji anahusishwa na chama?
Sasa kama hivyo ndicho tofauti ya kamati hizi za jpm na wale maraisi waliotangulia ni nn?Ni sahihi kwa mh rais kufanya hivyo kwa sababu baadhi yetu tunatafuta points za kupandia jukwaani kuanza kuyumbisha mchakato wa majadiliano. Ameona dalili za mamluki waliojidhihirisha tangu tume ya kwanza kutoa ripoti yake wakitafuta namna ya kuwasaidia Acacia waende mahakamani ili wao wapate political gain. Mh rais anaona mbali zaidi.
Nope. Usiishi kwa mazoea. Kwanza turejeshe uzalendo. Hivi Unaweza amini hata kwa hizi juhudi anazochukua mh rais wako waliojipambanua kusaidia wanyonyaji?Mkuu hata marais waliopitisha hii mikataba leo tunayoambiwa ni ya wizi walisifiwa kwamba wanaona mbali. Na sifa kubwa ilikuwa ni huo unaoitwa usiri. Jiongeze jomba.
Nope. Usiishi kwa mazoea. Kwanza turejeshe uzalendo. Hivi Unaweza amini hata kwa hizi juhudi anazochukua mh rais wako waliojipambanua kusaidia wanyonyaji?
Kwahiyo tuhesabu maumivu ?Kile kilichosomwa mbele ya umma sio riport, kwa kiingereza inaitwa executive summary...
Kwanini mnaficha ripoti hii kama mlivyoficha mikataba ya ndege mbovu za Mapanga boi ?Kwani humjui anayehoji ni chama gani?
Ni sahihi kwa mh rais kufanya hivyo kwa sababu baadhi yetu tunatafuta points za kupandia jukwaani kuanza kuyumbisha mchakato wa majadiliano. Ameona dalili za mamluki waliojidhihirisha tangu tume ya kwanza kutoa ripoti yake wakitafuta namna ya kuwasaidia Acacia waende mahakamani ili wao wapate political gain. Mh rais anaona mbali zaidi.[/
Mficha uchi hazai
Ni utashi wa Rais kukufanya wewe uione hiyo ripotiWakati ripoti zikisisitiza uwazi wa mikataba, Mikataba kupelekwa Bungeni na mengineyo, Wazalendo wamezuia ripoti yao kuwa wazi na kupelekwa bungeni. Hili linatia shaka juu ya uwazi wa Serikali na dhamira katika kuhakikisha Taifa linanufaika na rasilimali zake. Yaani kilichopelekea mabadiliko ya sheria hakifahamiki kwa kina kwa watunga Sheria
Mh! Jamani!! Hii nchi ina wenyewe…! Lo,...!Hao wananchi "wa Chadema" kama wanataka uwazi wapeleke hoja bungeni waunde kamati yao itakayopeleka majibu waziwazi bungeni bila kuacha kitu.
Wewe kweli jingalao.Hao wananchi "wa Chadema" kama wanataka uwazi wapeleke hoja bungeni waunde kamati yao itakayopeleka majibu waziwazi bungeni bila kuacha kitu.
Mkuu uko sahihi kabisa. Tatizo wako wanasiasa wameonesha nia mbaya tangu mwanzo wa mchakato huu.Mkuu kuishi kwa mazoea ndio huo usiri. Ilitakiwa kwenye hizi zama mpya tuachane na huo usiri maana ndio tulipoingizwa chaka.
Mkuu uko sahihi kabisa. Tatizo wako wanasiasa wameonesha nia mbaya tangu mwanzo wa mchakato huu.
Bro mbona sometimes unakuwa 'cheap' sana bro?Hao wananchi "wa Chadema" kama wanataka uwazi wapeleke hoja bungeni waunde kamati yao itakayopeleka majibu waziwazi bungeni bila kuacha kitu.
Hata mimi nimestuka,kidogo,ila sio wazo baya.Of course kama reports zitakuwa released sasa ita-jeorpadize our negotiating strength and position wakati wa negotiations utakapo wadia kwa kuwa watajua nondo zetu.Hii itawafanya watujue,na kwa hiyo kuweza kujiandaa vizuri zaidi.Infact, hata negotiating team yetu inapaswa kuwa siri kubwa.Wasiijue kabisa.Habari wadau, Nimeshtushwa sana na kitendo cha Waziri wa
Sheria na Katiba kudai kwamba Ripoti za Makinikia ni kwa ajili ya Rais, na hazitaweza kutolewa kwa kamati Ya Bunge, wala kwa Wawakilishi wa Wananchi. Suala la kungangania ripoti hizi kuwa siri ya Rais, wakati tayari umma ulishasomewa matokeo na mapendekezo ni jambo linalotia mashaka juu ya uhalali /ukweli wa kilichomo ndani yake.
Acacia ( Watuhumiwa Wezi) mara kadhaa wametilia shaka juu ya taarifa husika, na kuomba nakala za ripoti husika ili waweze kupitia details zilizopo na kutoa majibu lakini hawakupatiwa.
Wakati ripoti zikisisitiza uwazi wa mikataba, Mikataba kupelekwa Bungeni na mengineyo, Wazalendo wamezuia ripoti yao kuwa wazi na kupelekwa bungeni. Hili linatia shaka juu ya uwazi wa Serikali na dhamira katika kuhakikisha Taifa linanufaika na rasilimali zake. Yaani kilichopelekea mabadiliko ya sheria hakifahamiki kwa kina kwa watunga Sheria
.... Dah Lumumba bwanaa hata Ndugai hamumuamini na yeye kumpa hizo ripoti? Kwani rais amewekwa madarakani na nani? Hizo ripoti ni kwa faida ya nani?Hao wananchi "wa Chadema" kama wanataka uwazi wapeleke hoja bungeni waunde kamati yao itakayopeleka majibu waziwazi bungeni bila kuacha kitu.
Wewe mwenyewe hujitambuiHabari wadau, Nimeshtushwa sana na kitendo cha Waziri wa Sheria na Katiba kudai kwamba Ripoti za Makinikia ni kwa ajili ya Rais, na hazitaweza kutolewa kwa kamati Ya Bunge, wala kwa Wawakilishi wa Wananchi. Suala la kungangania ripoti hizi kuwa siri ya Rais, wakati tayari umma ulishasomewa matokeo na mapendekezo ni jambo linalotia mashaka juu ya uhalali /ukweli wa kilichomo ndani yake.
Acacia ( Watuhumiwa Wezi) mara kadhaa wametilia shaka juu ya taarifa husika, na kuomba nakala za ripoti husika ili waweze kupitia details zilizopo na kutoa majibu lakini hawakupatiwa.
Wakati ripoti zikisisitiza uwazi wa mikataba, Mikataba kupelekwa Bungeni na mengineyo, Wazalendo wamezuia ripoti yao kuwa wazi na kupelekwa bungeni. Hili linatia shaka juu ya uwazi wa Serikali na dhamira katika kuhakikisha Taifa linanufaika na rasilimali zake. Yaani kilichopelekea mabadiliko ya sheria hakifahamiki kwa kina kwa watunga Sheria
Maana ya summary unaelewa?Kile kilichosomwa mbele ya umma sio riport, kwa kiingereza inaitwa executive summary...