Lizarazu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 6,331
- 7,885
Merika?? ni nini hicho?
Kwanza mmesoma thread yote au mmeishia hapo tu kwenye hiyo typing error tu mkapata cha kucomment?eti merika
Kwa mtu aliye serious na kutaka kujifunza asingeweza kufanya huu upuzi hapa mlioufanya nyie.
Kiufupi huu uzi ni wazi kabisa sio size yenu.