Endelea kujidanganya, huna mafunzo waliyonayo huwezi kua hao jamaa wewe endelea kuendesha boda boda tu,Usikate tamaa mkuu hiyo kitengo haina umri rasmi. Nawaza kwa sauti.
Sawa mkuu,Unachokisoma kwenye vitabu kuna wenzio ndio mazingira yao ya kazi ya kila siku. Dunia ni kubwa peke yako huwezi kuijaza mkuu.
Acha waendelee kupachikana hadi watiane mimba.Dirisha la usajili la TISS ni UVCCM na JKT sijui ni kweli? Anyway walitakiwa waTangaze kuondoa kupachikana kuna wakati mkuu wa TISS alikuwa mhehe wakajazana WAHEHE KIBAO IDARANI
Endelea kujidanganya, huna mafunzo waliyonayo huwezi kua hao jamaa wewe endelea kuendesha boda boda tu,
Sawa mkuu,
TrueUkiona uvccm kapewa privilege,ni aidha TISS au ana mtandao,nilikua Dom kitaaluma 2005, stationary pale jamaa alikua hatoi kopi bila kuisoma document,nikamdhihaki 'au siyo,kila kinachopita tukijue' ..akacheka,yule informer,so Kuna kazi inabidi wapewe wao ili taarifa zisitupite
Bado haujanishawishi mkuu, kwanini mwenye miaka 35+ haruhusiwi kujiunga na jeshi? Ukijibu hilo swali ndio utanielewa nazungumzia nini kinyume na hapo huna cha kunishawishi mkuu,Hayo mambo ya umri mwisho miaka kadhaa ni kwa kiwango fulani cha elimu
Hiyo ni kwa mujibu wa taarifa ulizonazo wewe. Ila uhalisia haupo hivo.Bado haujanishawishi mkuu, kwanini mwenye miaka 35+ haruhusiwi kujiunga na jeshi? Ukijibu hilo swali ndio utanielewa nazungumzia nini kinyume na hapo huna cha kunishawishi mkuu,
Sio kwa mujibu wa taarifa, taratibu ndio zipo hivyo age limitations zipo everywhere you go, kikongwe ushaona anawekwa front line kupigana vita?Hiyo ni kwa mujibu wa taarifa ulizonazo wewe. Ila uhalisia haupo hivo.
Daah mkuu naomba tufunge mjadala huu ila naomba utambue sio kila mwananjeshi kazi yake ni kupigana vita.Sio kwa mujibu wa taarifa, taratibu ndio zipo hivyo age limitations zipo everywhere you go, kikongwe ushaona anawekwa front line kupigana vita?
Pia elewa kwamba unajua kile unachotakiwa kujua peke yake. USIKU MWEMA.Sio kwa mujibu wa taarifa, taratibu ndio zipo hivyo age limitations zipo everywhere you go, kikongwe ushaona anawekwa front line kupigana vita?
Jeshi halitoi ajira, isiyo ajira na hakuna mshahara lakini wanapata malipo, wanalipwa.Ni ajira
Mafunzo ya awali hua ni Combat na kujihami na adui mkuu na kumshughulikia adui kwa hio ni mafunzo ya kivita sio mafunzo ya kula pilau, hawaendi kujifunza kupika chapati kule Depo, ushaelewa?Daah mkuu naomba tufunge mjadala huu ila naomba utambue sio kila mwananjeshi kazi yake ni kupigana vita.
Ni kweli.nimeshasema na nasema tena nchi hii haipendi watu wenye akili.
Sio ikibidi ukijiunga jeshi wewe moja kwa moja unakua umesaini mkataba wa kifo, maana unaenda kucheza na vyuma vya moto na vile vyuma vinauwezo wa kukufanyia Mambo mawili pekee ima vitakuua au kukutia ulemavu wa kudumu, ushaelewa mkuuikibidi hata kwa gharama ya uhai wako.
Nimeelewa ahsante.Mafunzo ya awali hua ni Combat na kujihami na adui mkuu na kumshughulikia adui kwa hio ni mafunzo ya kivita sio mafunzo ya kula pilau, hawaendi kujifunza kupika chapati kule Depo, ushaelewa?
Na mwambie kwamba wale wanarenew huo uandikishwaji kila baada ya miaka kadhaa. Kama upo tayari kuendelea kuandikishwa au la.Jeshi halitoi ajira, isiyo ajira na hakuna mshahara lakini wanapata malipo, wanalipwa.
Ukijiunga na jeshi unakua umejiandikisha kulinda na kutetea katiba.
Kulinda mipaka ya nchi etc, ikibidi hata kwa gharama ya uhai wako.
Sasa kuna ajira gani duniani muajiriwa anakuwa tayari kufa? Kama wajua itaje.
Kazi na umri ndio maana umri ukifika hatamu hua wanakabidhi kijiti wenye damu changu waendeleze walipoishia, sio kwamba wao hawajui au namna gani Ila mwili nao unafika pahala unachoka, ni rahisi kumnyoosha msamba mtoto wa miaka 5 au 7 na akifika miaka 10 akawa anapiga msamba mwenyewe tofauti na kumfindisha kupiga msamba kijana mwenye miaka 35+ ni ngumu kwanza atakuona unamchosha tu, ushaelewa nazungumzia nini?Pia elewa kwamba unajua kile unachotakiwa kujua peke yake. USIKU MWEMA.
Sasa wengi hawajui hii na hata wakielimishwa hawataki kuelewa, sinui shida nini kama huyo hapo ninaemulekeza.Sio ikibidi ukijiunga jeshi wewe moja kwa moja unakua umesaini mkataba wa kifo, maana unaenda kucheza na vyuma vya moto na vile vyuma vinauwezo wa kukufanyia Mambo mawili pekee ima vitakuua au kukutia ulemavu wa kudumu, ushaelewa mkuu
Mkuu mimi huwa nina tabia ya kujichanganya sana na watu tofautitofauti na napata taarifa nyingi sana, kwani nina iwezo mkubwa sana wa kusikiliza na kupata taarifa nyingi hasa nikiwa nakula bia zanguUna weledi au ujuzi gani muhimu unaohitajika sana katika ujasusi?
Ungepewa kazi usalama ungekuwa mzuri katika kitu gani?
Usikate tamaa mkuu hiyo kitengo haina umri rasmi. Nawaza kwa sauti.
Wanajua kulinda heshima yao ikibidi hata kujiua wakizinguliwaUnahisi kwanini mchonga aliwajaza wanyalu huko wakati wake
Ova
Out of 1000 graduates wa chuo kikuu hawataweza kujibu hili swaliUna weledi au ujuzi gani muhimu unaohitajika sana katika ujasusi?
Ungepewa kazi usalama ungekuwa mzuri katika kitu gani?