Na hapo ndio nchi yetu huharibikia.Tatizo lao wana peana ajira wao kwa wao ajira za Baba kanituma na kamlete, vijana walio bahatika bila kujulikana ni wale walioingia kipindi cha ajira za ukuta
inasikitisha sana, bado kuna ukale wa kizamani kwa walio na nguvu ya kuleta mabadiriko. Vyombo vya ulinzi vimekuwa option kwa walio fail na sio walio faulu.. hii inatoka na vyombo husika kutokuwa na mazingira na motisha nzuri ya kielimu na kimazingira kuvuta vichwa kwenye hizo taasisi.. acha tuhamie burundiNdo maana nasema ni ngumu hii nchi kusonga mbele.
Leo hii Wachina wamekuwa machinga
Mi naona kuna watu mnachanganya ma informer na watu wa usalama wa taifa. Anyways mengine yanipite ila kwa kazi zinazofanyika hadi wewe unalala usingizi ndani kwako ungeshukuru tu. Acha nikatafute jukwaa la mfumuko wa bei za vyakula ndo linalonihusu.Mkuu hao welediupatikanaji wake hautumiki siku hizi.Kwanini usikubali kwamba kuna taratibu zinapindishwa.Kwani tukisema nyerere unakuwa hujaelewa nyerere alikuwa raisi hili nalo tukufafanulie.Unauliza alienda mwenyewe kweli.
Si kweli, hizi lugha za kulala zimepitwa na wakati. Hiyo ndiyo kazi yao kufanya watu walale. Kama ambavyo sisi madreva wa bodaboda tunawabeba wao na jamii yao. Nini kulala, Ukraine kinapigwa muda wote na watu wanalalaMi naona kuna watu mnachanganya ma informer na watu wa usalama wa taifa. Anyways mengine yanipite ila kwa kazi zinazofanyika hadi wewe unalala usingizi ndani kwako ungeshukuru tu. Acha nikatafute jukwaa la mfumuko wa bei za vyakula ndo linalonihusu.
PSU Nini hii mkuu?Taasisi zote Tanzania zina Ofisi inayojulikana.
MI, TISS, PSU ndo Taasisi ambazo hazijulikani
Ila Bunju
Mbweni
Kinondoni
Makumbusho
Makongo
Kwani chanzo cha ukraine kuingia kwenye mgogoro na russia unakijua? Wala tusiende mbali. We jifanye unaanzisha vugu vugu la kutaka muungano wa znz na Tanganyika uvunjike eti znz ijitegemee ndo utajua. Nani ataruhusu kukaribisha nchi za kiarabu karibu na Tanganyika? We unadhani wakianza kuingia wale sisi tutakua salama?Si kweli, hizi lugha za kulala zimepitwa na wakati. Hiyo ndiyo kazi yao kufanya watu walale. Kama ambavyo sisi madreva wa bodaboda tunawabeba wao na jamii yao. Nini kulala, Ukraine kinapigwa muda wote na watu wanalala
Mkuu mbona Kama umechanganya Kati ya FBI na CIA au Mimi ndio sijakuelewa.Ni kwa sababu TISS haiajiri bali watu wanateuliwa kuingia TISS mfano kutoka polisi,jwtz,taasisi nynigine za serikali etc.
CIA ni espionage entity ambayo kazi yake ni kukusanya intelligence nje ya taifa la Marekani.So ajir zake zinaombwa kama nyingine ingawa pia wanafanya head hunting na teuzi kutoka idara nyingine
Usiwape umuhimu wasiopaswa pewaMi naona kuna watu mnachanganya ma informer na watu wa usalama wa taifa. Anyways mengine yanipite ila kwa kazi zinazofanyika hadi wewe unalala usingizi ndani kwako ungeshukuru tu. Acha nikatafute jukwaa la mfumuko wa bei za vyakula ndo linalonihusu.
Tatizo wengi wenu ni vilaza hamna jipya kama baba zenuKama wanaorithi wanaubora stahiki wacha iwe hivyo.
Hakuna anaepinga tanzania lazima iendelee kuzalisha watu welwdi na wema kwa ulinzi wake wa milele.Naenda jukwaa la matangazo madogo.Mshaanza mikwala.Mi naona kuna watu mnachanganya ma informer na watu wa usalama wa taifa. Anyways mengine yanipite ila kwa kazi zinazofanyika hadi wewe unalala usingizi ndani kwako ungeshukuru tu. Acha nikatafute jukwaa la mfumuko wa bei za vyakula ndo linalonihusu.
Kwaiyo tungekuwa wapi?Kwani chanzo cha ukraine kuingia kwenye mgogoro na russia unakijua? Wala tusiende mbali. We jifanye unaanzisha vugu vugu la kutaka muungano wa znz na Tanganyika uvunjike eti znz ijitegemee ndo utajua. Nani ataruhusu kukaribisha nchi za kiarabu karibu na Tanganyika? We unadhani wakianza kuingia wale sisi tutakua salama?
Ndo maana nakwambia kwenye ground mambo ni magumu mimi na wewe hatuyajui. Kusingekua na informers au wafatiliaji wa chinichini tusingekua hapa saizi
Nyinyi ndo mnawapa umuhimu watu waiostahili. Kwanza usalama wa taifa wanajulikana? Au mnaokaa nao huko vijiweni ndo wanajitapa hivyo.Usiwape umuhimu wasiopaswa pewa
Hiyo ndo umeona point ya kui quote? Nimeanza kuchokaKwaiyo tungekuwa wapi?
Wafanyakazi ikulu ni usalama,na hata balozi mbalimbaliHata ikulu, wafanyakazi wake utaratibu mkubwa unaotumika kuwapata ni kurithishana.
TISS haichukui uvccm Ila TISS ina-recruit vijana Kisha kuwaingiza(baadhi) uvccm..na si kwamba wapo uvccm tu hata upinzaniUVCCM imegeuka kadi ya TANU kwa kipindi hiki, vijana wengi tu unakuta haamini wala haipendi CCM ila anaingia huko ili kupata fursa nyeti kama hizo au akianzisha biashara zake awe na network ya kumlinda asisumbuliwe
Ila TISS wangeliangalia hili, wao ndio usalama wa nchi hivyo, wangeangalia namna bora ya kupata best brains and characters ili iwe future ya TISS, haya, Mambo ya kuwalea makada ambao ni opportunist wasio na chembe ya uzalendo. Ipo siku TISS itabaki uchi