Usiri ajira TISS

Usiri ajira TISS

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
72,935
Reaction score
102,692
Kwanini panakuwa na Usiri katika ajira ndani ya Usalama wa Taifa?

Mbona CIA hutangaza nafasi na watu huomba

Kwanini wasianzishe mchakato wa watu kuomba?
IMG_20230106_173320.jpg
 
Broo nimekuambia achana nao hao kaka hawana inshu tufanye yetu na kila mmoja wao muulize kwenu wapi utasikia 'Dar 'yaan ata kama anakidongo cha kasulu miguuni
Rafiki angu mmoja alianza kama Uvccm mpaka leo nae yupo huko. Hua nampima vitu vidogovidogo tu vya uelewa ila ni mweupe. Uchawa na Ccm ni janga la taifa
 
Usalama taifa mnavyowachukulia mnawapaisha sana.

Hao hadi polisi wana hadhi ya juu kimamlaka, hao ni watumwa wa ikulu na rais aliyepo madarakani.

Ila kiutendaji wapo kila kona.

Wenye nchi yao ni hayo majamaa ya bakabaka ndiyo yaliyopewa nguvu ya ulinzi wa nchi.

Madogo wa usalama wanatishia sana raia wema.
 
Ni kwa sababu TISS haiajiri bali watu wanateuliwa kuingia TISS mfano kutoka polisi,jwtz,taasisi nynigine za serikali etc.

CIA ni espionage entity ambayo kazi yake ni kukusanya intelligence nje ya taifa la Marekani.So ajir zake zinaombwa kama nyingine ingawa pia wanafanya head hunting na teuzi kutoka idara nyingine
 
Kuna vitu vinafanywa usiri wakati hajikutakiwa kuwa vya siri, na usiri huu unaofanywa unakuta ni terget tu ya kuweka watu wao wanaowataka, na ndo maana tunapata watu wasio na weledi na wenye IQ ndogo sana kiutendaji yawezekana ni mkakati tu wa mtu. Kinachotakiwa watangaze nafasi za kazi watu waombe lakini mchakato wa kuwachukua waliokidhi vigezo ndo ufanyike kwa siri.
 
Wabongo nyokko sana

Kwakuwa Wamarekani wanahalalisha ushoga basi inatulazimu nasi tuige

Mkinitukana Chawa wangu hawatawaacha...
Wale mashoga wa Kahama na Babati wamefundishwa na Wamarekani?

Ukimwi ukipotaka kuwamaliza miaka ya 1990's si ilikuwa tabia yenu ya kutomb....hovyo mpaka mkasaidiwa ARVs ilisababishwa na ushoga wa marekani?
 
Kuna vitu vinafanywa usiri wakati hajikutakiwa kuwa vya siri, na usiri huu unaofanywa unakuta ni terget tu ya kuweka watu wao wanaowataka, na ndo maana tunapata watu wasio na weledi na wenye IQ ndogo sana kiutendaji yawezekana ni mkakati tu wa mtu. Kinachotakiwa watangaze nafasi za kazi watu waombe lakini mchakato wa kuwachukua waliokidhi vigezo ndo ufanyike kwa siri.
Sijui kuhusu tiss lakini kwa Tanzania mambo yanayowekwa kuwa siri ujue kuna Upigaji mkubwa ndani yake.
 
Back
Top Bottom