Eng Kahigwa
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 783
- 632
Ukisema kuwa nitubu nikiwa mzee alafu Mungu akanichukua ningali kijana, nitafaidikaje?Tumia vyema ujana wako kwa kuwala type mbali mbali za mademu ili ata ukizeeka usije kujawa na tamaa,
Umepewa nguvu na Akili ya kuweza kumudu kila game sasa kwa nini ujivike ulokole wakati mwili unatamani,
Unajifanya mwema ujanani unakuja kufa uzeeni na dhambi ya Tamaa,
Sawa uzinzi ni dhambi, "sio kwangu" lakini utatubu ukiwa uzeeni tamaa ikishapotea utasamehewa na kufa ukiwa msafi.
CC Zero IQ
Tatizo lako umegoma kwenda ibadani kutolewa mapepo yako, sie wengine tunasubiria starehe yetu huko mbinguni ya kuimba na kunywa maziwa na asali.