Usipoziba ufa utajenga Ukuta 2014 - 2015

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,589
Habarini mabestito wangu

Ni mengi tumejifunza na tumefundishwa kwa mwaka huu na mengi tumeyafanyakwa mwaka huu na mengine tumejikuta hatujafanya tokana na matatizo ya hapa na pale.

Marafiki zangu tumejifunza na mmejifunza kwa thread zangu nilizozileta hapa na wengine zimekuwa faraja kwenu na kwangu pia. Kama kuna mahali niliwaboa au kuwaamuzi kwa tredi hizi A'M Sorry (naweka msisitizo hapa) kwani nilikuwa naleta kitu kuwalenga na kuwafundisha wale ambao hawakukaa katika mstari wao.

Marafiki zangu kwanini nimekuja na msemo huu wa: USIPOZIBA UFA UTAJENGA UKUTA Ni mojawapo ya neno langu la mwisho kwa mwaka huu pale ambapo unaona pamefaa na unaona kuwa pako pazuri kumbe kuna kaufa kananyemelea na kama hujadhibiti basi jua kuwa unadondokewa na ukuta na angalia usije ukakubamizia ukutani usiweze pata hata kahaueni.

Marafiki tukae tukijua kuwa maisha ni safari ndefu na tena maisha yana mwisho wake kama hujajenga mapema katika maisha yako,. au kama hujatafuta mapema katika maisha yako usitegemee kuwa kuna wakati utakuja kufanya kiile ulichotarajia kukifanya,

NENO: MAALUM KWA VIJANA

WAKATI UNASONGA MBELE WALA HAURUDI NYUMA KATIKA WAKATI ULIONAO SASA FANYA PALE ULIPOJIWEKEA KUFANYA USINGOJE KESHO KWANI KESHO ITAJISUMBUKIA KUWA MTU WA KUJITUMA NA WEKA MIKAKATI YAKO KWA WAKATI NA UTEKELEZE KWA WAKATI KAMA UTAWEZA FANYA HIVYO JUA KUWA UKUTA UTAKUDONDOKEA IWE ISIWE NA UTAKUJAJUTA WAKATI ULISHAUCHEZEA

Na ndio maana nimesema USIPOZIBA UFA UTAJENGA UKUTA hapo sasa utakuwa umeshachelewa na wakati mvua inakunyeshea wala usione UKINGO wa kujisitiri hapo ulipo

Kijana mwenzangu :USIPOZIBA UFA UTAJENGA UKUTA

Nawatakia sikukuu njema na mwaka mpya mwema 2015

Nawapenda.

Wasalaamu
Ladyf

cc: Mamndenyi, stevoh, ivol, Excel, Passion Lady, charminglady, Lady doctor (HUonekani bestito), Heaven on Earth, sister, miss chagga, KOKUTONA, vivian, kabanga, Erickb52, Arushaone, PakaJimmy, Preta, Fixed Point, Paloma, Mentor, AshaDii, Chachu Ombara, Mtambuzi, Mphamvu, Chabruma, warumi (sijui hawajakupiga ban tena?), mwallu, miss neddy, Munkari, Ntuzu, muuza ubuyu, Young Master, @C6, mshanaJr, Kaizer, Boflo, snowhite, measkron, Mashixizo, gfsonwin, watu8, Maxence Melo, Invisible, Pruner , Jiwe Linaloishi, Kipaji Halisi, na marafiki zangu wote ambao kwa namna moja nimewasahau kuwataja hapa karibuni tujifunze na kuhelimisha
 
Thanks my!!!!!!!!!!!! X-mass wapi?
 
Na leo tena!

Sijui lini na mimi nitakuwa natajwa kwenye thread. Mweeeh! 😄

Haya mliotajwa kazi kwenu kufanyia kazi ushauri huo
 
mwaahh!!:tonguez::tonguez:

mwaka umenipita hivi hivi:teeth::teeth:

mwaahh!!:tonguez::tonguez:

mwaka umenipita hivi hivi:teeth::teeth:

mwaahh!!:tonguez::tonguez:

mwaka umenipita hivi hivi:teeth::teeth:
 
nikafikiri nawe ni mmojawapo wa hao wanaoendaga huko mwishoni mwa mwaka kwenda kuhesabiwa na kuchanjwa miili kumbe wewe sio sorry best wangu usikasikirike

kwani wewe uko simiyu au?
Sema Bariadi, Simiyu siyo Shinyanga! By the way, unataka niende huko Xmass kwani nimekuwa mchaga au mhaya kwenda kuhesabiwa?
 
pole

sasa hili ni ngonjera au shairi au wimbo maana sijakusoma mkuuu ????

mwaahh!!:tonguez::tonguez:

mwaka umenipita hivi hivi:teeth::teeth:

mwaahh!!:tonguez::tonguez:

mwaka umenipita hivi hivi:teeth::teeth:

mwaahh!!:tonguez::tonguez:

mwaka umenipita hivi hivi:teeth::teeth:
 
pole bestito jinalo gumu kulishika kichwani nitajitahidi nilikariri halafu niwe nakutaja kwenye thread zangu

saamahani bestito wangu wa ukweleeeeee usihuzunike nawe ni mmoja wa marafiki zangu hapa youre welcome
Na leo tena!

Sijui lini na mimi nitakuwa natajwa kwenye thread. Mweeeh! 

Back
Top Bottom