Usipotumia simu kwa muda, Vodacom hukomba salio?

Ozzie

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
3,217
1,259
Kwa muda mrefu nimekuwa nasafiri kwenda maeneo ambayo siwezi kutumia line ya Vodacom. Mara zote huwa maeneo haya husika kwa wiki moja na zaidi. Na mara nirudipo, huwa nakuta salio katika line yangu ya Vodacom limekwanguliwa lote. Haijalishi nimeacha shillingi elfu 5, elfu 10, na hata zile ndogo. Hivi najiuliza, ikiwa hupatikani kwa zaidi ya siku saba, Je, Vodacom huwa na tabia ya kuondoa salio kwenye SIM card yako?
 
.utakuwa umeweka diversion au call forwading kwenye namba yako. Piga huduma kwa wateja wakuchekia mkuu
 
Back
Top Bottom