Usipoteze tumaini, dunia ndivyo ilivyo

Usipoteze tumaini, dunia ndivyo ilivyo

Mkuu, poverty ni complex issue. Huwezi kuielezea kwa sentensi zilizonyooka na mtu aka kuelewa. Ndiyo mana hata WHO wame andika hapo.

Wewe mwenyewe una yumba balaa mpaka unasema umaskini upo na layers.

Kitu kuwa na maana halisi maana yake unaweza ukamueleza mtu yeyote kwa mara moja na kukuelewa kwa urahisi.

Hayo mambo uliyo yaonyesha hapo nimeyasoma sana shuleni.

Hayo maelezo yako hata ukitumwa ukawafundishe wazee ambao hawajui kusoma na kuandika, hawawezi kuelewa hata ukiongea kwa kiswahili.
Layers lazima ziwepo hata kwenye utajiri.. lazima ukubali layers kwamba kuzidiana lakini hauwezi kushindwa kuelewa nn kinaongelewa. Kama hutaki kuelewa hulazimishwi. Huwezi kusema mtu anaemiliki chumba kimoja na mlala nje wako sawa.. lakini hauna sababu za kuwatoa kwenye umaskini
 
Umasiki upo wazi unaoneka haujifichi, hata ukishindwa kuelezea
unaonekana wazi
Umaskini unaelezeka vizuri kabisa. Tena kikabila, kirangi, kidini, kiukanda na hata kiaina fulani za utofauti baina ya binadamu. Umaskini ni objective, huyu jamaa analeta subjective perceptions
 
Ni imani yangu sote tu wazima, nina kila sababu leo kuongea na vijana wenzangu.

Sote tunafahama hali ya maisha, vita ya kulipigania tumbo ni vita ngumu zaidi kuliko ile ya kusaka utajiri. Ni kama ile vita ya kupigania uhai, unapambana ii uendelee kuitwa kiumve hai.

Kwa mara kadhaa nimekuwa nikiandika mada zenye mfululizo wa kufichua mazingira yenye bidhaa nafuu ili aliyekwama kuanza biashara kwa sabab hiyo aanze. Bado napata ukakasi yA kwamba bado tuna idadi kubwa ya vijana ambao hata kufikiria kufanya biashara hawajawahi pamoja na uhalisi uliopo.

Katika perspective hii, sababu za kushindwa walau kufikiria kwamba kuna siku wataanza biashara ni pamoja na kukosa mitaji, shinikizo la kuajiriwa kuwa na faida nyingi kuliko hasara nk. Biashara bado inalipa, pamoja na ugumu uliopo katika kulipambania tumbo na kujitegemea

Safari bado ni ngum, mwanzo unakatisha tamaa na mwisho unaoonekana wakati wa kuanza unaogofya sana. Never lose hope.

View attachment 3166540
Amiin
 
Mpango mwenyewe kabless
 

Attachments

  • 907ff8e5ee83447fa83bf10b55aa40c9.mp4
    840 KB
Back
Top Bottom