Usipoteze tumaini, dunia ndivyo ilivyo

Usipoteze tumaini, dunia ndivyo ilivyo

Hujawahi kusikia kaka au dada anamfanyia fitina mdogo wake waliozaliwa tumbo moja asifanikiwe?
Kwenye kupambania maisha na maendeleo yako kwa ujumla usimuamini na kumwambia mipango yako mtu yeyote
Mm mpaka dakika hii mzee wamgu sijaend kumkagua tu kwa wakubwa mana kwa akili yake ilivyo yule anaweza akatokea kama kikwazo nikamtanguliza mbinguni
 
Mkuu,sio vizuri kutaja majina ya watu.

Alafu Kila mtu huwa ana maana yake ya kufanikiwa kimaisha, ila ni vile tu tumezoea kusema fulani katoboa.

Kuna mtu akiwa dollar millionaire anaona tayari kashatoboa na tena anaweza hata akafoka majirani kwa kiburi. Na kuna mwingine akipata hicho kiasi cha fedha anaona mambo bado sana.
Let's assume kutoboa is independent issue! Kutoboa sio kitu kinachoweza kutegemea mawazo ya mtu, mana kama ilivyo umaskini tu kuna watu wanakataa kuwa sio maskini lakin wanashea sifa zote za hali ya kimaisha na maskin wengine
 
Tusisahau kuweka BUFFER ZONE maana maisha ya kutafuta riziki ni vita ya kwanza halafu ya Russia 🇷🇺 na Ukraine 🇺🇦 ndio inafuatia.Bila ya kuweka ukanda wa kujikinga dhidi ya maadui utashambuliwa sana na kila siku unaweza kuwa unaanza upya.
Fafanua mkuu
 
Mkuu samahani.. nje ya mada..
Akuu Naskia ile nyimbo ya Why ya marioo mpya .. imefungiwa ety
 
Nipe definition yako
Take note, kwa dunia ya sasa umaskini unaangaliwa kwemye material world, yani kuna standard ya maisha ya kuishi mwanadam kutokana na mahitaji, sustainability na stability. Umaskini unatokea less than normal standard ambapo wanaotokea chiniya standard wanaishi misery life. Wanapitia ugum sana kupat basic needs, kufikia baadhi ya haki zao wenyewe na madhara mengine

So, umaskini kwa standard ya maisha na dunia iliyo-monetize kila kitu ni chini ya kipato (LIE), hapo patatokea vitu vingine kama ujinga, maradhi, uhaba na ukosefu.. kushindikana! Kukosekana etcetera. So maskini ukiangalia deep hata mikikati wezeshi hafikiki kirahis

Na umaskini upo na layers, kuna umaskini wa nchi, kinda, familia, kabila, mpaka umaskini wa mtu mmoja mmoja. Pia umaskini una levels yani kuna maskini ambaye hana kitu kabisa, kuna maskini ana chumba kimoja, kuna maskini ana nyumba ya vyumba vitatu. Na hawa wote kadri mmoja anavyotokea juu ndivyo anaona wa chni yake maskini
Screenshot_20241201_170305_Chrome.jpg
Screenshot_20241201_170248_Chrome.jpg
 
Pia hakuna maana halisi ya mtu kuwa tajiri
Umaskini unaendana na vulnerability, maskini sifa zao zinafanana tu, wengi utawakuta vijijin, urban slums na shanty town na sub urban. Wengi wanafanya kazi au shughuli zao sana katika informal sectors, wengine ni toilers katika viwanda na magodauni ya wahindi. Maskini wanakula kwa tabu sana, wanahangaika kupata hela za kula, hawaungani wala kusapotiana na rate ya imani ya uchawi miongoni mwao iko juu sana. Tajiri anatokea in vise versa..

Ukiona umeme umekatika na hauna suluhu mpaka tanesco waurudishe wewe ni maskini tu
 
Mtu maskini maana yake ni mtu ambaye hana Mali kabisa, yaani networth yake ni 0 TZS.

Sasa mtu Kama huyu yupo kweli ?
Acha kufanya rationalization mkuu kubali kuwa wewe ni masikini upambane

ujikwamue huko, sasa kama unaishi kwenye slams huko Mbagala- vyumba vya giza
wewe na mke na watoto wanaosoma mpo chumba kimoja na unatumia chini ya dola
dola moja kwa siku wewe utasema ni tajiri au ni fukara kabisa bora hata masikini.
 
Mkuu, poverty ni complex issue. Huwezi kuielezea kwa sentensi zilizonyooka na mtu aka kuelewa. Ndiyo mana hata WHO wame andika hapo.

Wewe mwenyewe una yumba balaa mpaka unasema umaskini upo na layers.

Kitu kuwa na maana halisi maana yake unaweza ukamueleza mtu yeyote kwa mara moja na kukuelewa kwa urahisi.

Hayo mambo uliyo yaonyesha hapo nimeyasoma sana shuleni.

Hayo maelezo yako hata ukitumwa ukawafundishe wazee ambao hawajui kusoma na kuandika, hawawezi kuelewa hata ukiongea kwa kiswahili.
Umasiki upo wazi unaoneka haujifichi, hata ukishindwa kuelezea
unaonekana wazi
 
Back
Top Bottom