Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,694
- 149,920
Kama sikosei, Mkulu aliwahi tishia kufanya hivyo endapo TLS watafanya jambo ambalo yeye kwa mtazamo wake ataona halifai.
Sasa kwa yaliyotokea leo hii,mh.ni kweli hatateua jaji yoyote ambae ni mwanachama wa Tanganyika Law Society(TLS)?
Atakuwa anapandisha vyeo tu watumishi wa Idara ya Mahakama waliopo sasa kuwa Majaji?
Kama hilo linawezekana,kwa kufanya hivyo hata create uhaba wa majaji/mahakimu katika Mahakama za chini?
Ikitokea uhaba huo,wa kujaza nafasi hizo atawatoa wapi?
Najua Raisi ana mamlaka makubwa ya uteuzi na anaweza kuteua yoyote yule lakini unaweza kweli ukapata watu competent na wa kutosha nje ya Tanganyika Lawa Society?
Hii sio fani yangu lakini lakini nimejikuta na hayo maswali.
Hapa ndio tutaona umuhimu Rasimu ya Katiba mpya ya Mzee Warioba iliyokuwa inapendekeza uteuzi wa Majaji ufanywe ma Tume ya Utumishi wa Mahakama.