utoto unakusumbua ukikua utaacha.daaa kweli A-level ndo kila kitu lecture yuko fasta anaamin wote ni wametoka f6 ni shida kwa waliotokea f4 afu cheti afu diploma kwa michipuo ya science.
Kweli naamini ni shida kwa wale waliopita mkato; form iv-college-university kama wewe kabisa uliyepita form vi unaandika kama mtoto wa chekechea tena kiswahili tu kimekupa shida lugha ya malkia wa uzunguni itakuwaje sasa?daaa kweli A-level ndo kila kitu lecture yuko fasta anaamin wote ni wametoka f6 ni shida kwa waliotokea f4 afu cheti afu diploma kwa michipuo ya science.
Hivi hii elimu ya BRN unaweza na ww ukatamba mbele ya watu umesoma form VI???
Stupid.
kweli wewe ni PUSSCAT kuandika hujui wala unnacho andika ni ujinga ujinga tudaaa kweli A-level ndo kila kitu lecture yuko fasta anaamin wote ni wametoka f6 ni shida kwa waliotokea f4 afu cheti afu diploma kwa michipuo ya science.
UKIKUWA UTAACHA, WALIOUNGANISHA MARA ZOTE, NI KAMA WANARUDIA MASOMO KWA SABABU WALISHAVISOMA KWENYE DIPLOMA NA CERTIFICATE, TENA WANA EXPERIENCE wameenda field mara nyingi kwahiyo anachosoma ashakifanyia kazi pia ashakisoma wakati wa dip, TATIZO LAKO UNATAKA KUJIONYESHA NDO MSOMI WA KWANZA KUFIKA FVI, TANZANIA NZIMA, AU KIJIJINI KWENU WEWE NI WA KWANZA KUFIKA FVI?,
teh teh teh...div. V zipo chuoni.
daaa kweli A-level ndo kila kitu lecture yuko fasta anaamin wote ni wametoka f6 ni shida kwa waliotokea f4 afu cheti afu diploma kwa michipuo ya science.
daaa kweli A-level ndo kila kitu lecture yuko fasta anaamin wote ni wametoka f6 ni shida kwa waliotokea f4 afu cheti afu diploma kwa michipuo ya science.