usiposema ni mrembo ni wivu tu

usiposema ni mrembo ni wivu tu

:msela:mkuu huyo sio mrembo bali ni mwanamitindo wa mavazi na nywele bandia
ukitaka kumjua mwanamke mrembo halisi ni yule anayevaa mavazi ya kiasili na nywele za kiasili,ukityaka kujua warembo nenda bush utawakuta
 
SNURA+2013.JPG
 
ukitaka kujua urembo wake halisi mvizie asubuhi akiwa ametoka usingizini, sitashangaa ukitimua mbio, hapo mi naona extreme make-up tu.
 
:nono: Sio Mrembo...Ngozi ya uso na sehemu zingine haifanani
 
Kumbe unazungumzia urembo?
Nilizani unazungumzia uzuri.

Urembo unauzwa dukani.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom