This is JFMngejua mtoa mada ni mwanaume na ndevu zake msingehangaika na uzi huu..anachokifanya ni kutaka kujaza pm yake ili awatapeli..chukueni tahadhari.
Kutokana na maneno yako hayo inaonekana wewe hujaolewa bado na unachokifanya ni UZINZI NA UASHERATI....... ikimbie ZINAA mkuu, tafuta mume wa kukuoa na utulie naye. Tena kaa ufahamu kwamba kazi ya kufikishwa "kileleni" siyo ya Mwanaume pekee, bali ni ushirikiano wa Mwanaume na Mwanamke, ndiyo maana Mume na Mke wanaitwa mwili mmoja, hivyo kazi inayofanywa na mwili, viungo vyote hushiriki kazi hiyo.Eeeh, nirudi nifanye nini kama kazi huwezi. Hata kama nimeshakula hela. Yako kiasi gani siwezi rudi na siwez endelea kutumia hela yako cz huitendei haki naona ntakuwa kama mwizi tu
Jambo la kusikitisha ni kwambaHe he wanaume mna kazi sana