Usiponifikisha kileleni sirudi tena

Usiponifikisha kileleni sirudi tena

Eeeh, nirudi nifanye nini kama kazi huwezi. Hata kama nimeshakula hela. Yako kiasi gani siwezi rudi na siwez endelea kutumia hela yako cz huitendei haki naona ntakuwa kama mwizi tu, wanawake tunahitaji kushuhulikiwa kweli kweli sio dk 30 tu mkaka upo hoi eti umechoka hasa wanaume wa dar ndio zenu, na mtaendelea kuchapiwa na wanaume wa mkoa msipojiongeza.
Hapa lazima ufike tena njia utachagua mwenyewe Kama ni ya rombo, marangu au machame kialia me shawafikisha wengine Wengi ambao hawajawahi fika kikeleni
 
Aku mwenzangu,. Nnavyojipenda mumu mie feni wala haihusu[emoji108][emoji108][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kisa cha kupata sugu nn,..
Huyu atakuwa kilele chake kipo mnara wa babeli pale juu kabisa
 
Hahahahaa maimuna wake huyu atakuwa ameshindikana kama lile "jiwe lililowashinda waashi"
Hahahaha, huyu unampigia kitu cha Bob , na nyagi mzinga ndio unamkanyagia klachi , lazima akatangaze kwa shoga zake , leo .........
 
Hahahaha, huyu unampigia kitu cha Bob , na nyagi mzinga ndio unamkanyagia klachi , lazima akatangaze kwa shoga zake , leo .........
.....[emoji91][emoji91][emoji91] umewakaa[emoji23][emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: sab

Similar Discussions

Back
Top Bottom