Offline User
JF-Expert Member
- Dec 20, 2010
- 3,828
- 2,395
Nasikia hata unapokua bafuni unaoga si vizuri kupokea simu. sijui ni kwa nini
Acha ujinga wa kihaya wa kuongea mbele za watu usichokijua. android sio aina ya simu bali ni operating systemhiyo simu wanayoongelea ni feki ndiyo maana hawataji ni aina gani ya simu. kuna simu inaitwa android? Ingekuwa hivyo watu wengi wangekwisha kufa
Acha ujinga wa kihaya wa kuongea mbele za watu usichokijua. android sio aina ya simu bali ni operating system
hata wewe acha kukurupuka kama umefumaniwa, elewa nilichopost
Mjanja hafumaniwi kaka. Dar guest house ziko mpaka Kigamboni wewe mtu wa Kimara unifumanie ?
Acha ujinga wa kihaya wa kuongea mbele za watu usichokijua. android sio aina ya simu bali ni operating system
Tuna safari ndefu..Salim Kikeke
WAPENZI SAMBAZENI UJUMBE HUU.
Kwa mara nyengine tena kijana wa India-
Mumbai Amefariki dunia Leo asubuhi,
alipokua akipokea simu aina ya Android
ilipokua kaika Charge. alipopokea Madaktari
wanasema alihisi mtetemo katika Moyo wake
na mkonononi akarushwa na umeme
(akaungua)
-Tafadhali usipokee Simu pindi iwapo katika
Charge
-Tafadhali usijibu Simu pindi iwapo katika
Charge
Kwa Sababu Miale ya Simu inaguvu mara
1000 zaidi ya
ufikiliavyo...
USIPOKEE SIMU IWAPO KATIKA CHARGE
Tafadhali #Share kwa Marafiki waone Ujumbe
huu.