tehe tehe tehe simu yangu ni mwiko kabisa kukosa bundle hata kwa nusu saahahahahahahh.
mkuuu vipi Kama huna bandle kabisa siku Kama 3 hivi si utakua mwehu kabisa
Hajar umeamkaje?? Uko salama kabisa!!Umeonaeee. Hapo sawa Mshenga.
nakusalimia upoNimekumbuka matatizo yangu ya jf nayawasilishaga kwako utazani wewe ni mod [emoji23][emoji23]
maeneo ya Kibiti...lolhahahaha.
afadhali mkuuu.
but uko kwa wapi Leo bando yangu inaelekea kukata unisaidie tushee japo kwa WiFi niweze kuendelea kuwepo humu?
Nipo ndugu, za kwako?nakusalimia upo