Usipoingia JF unajisikiaje?

je usipo tumia jamii forum unajisikiaje???

  • vizur

    Votes: 0 0.0%
  • vyote viwili

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    4
Kawaida tu, ila nisipoingia muda mrefu kuna watu na vitu ninamiss.
Humu kuna ile watu mnaishi kama mnafahamiana hivi, kwahiyo nakuwa nawamiss.

exactly true
unaweza ukahisi Una miss ndugu zako wa damu kabisa
 
Mimi huwa sipo online kwa akili yangu timamu mara nyingi saa mbili tu nalewa nikiwa online basi mpaka asubuhi nakua nimeitelekeza simu nikiwa online vile vile

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

hahahahaha
saluti kwako ndugu
 


hahahahaha.
nimeipenda hii bure kabisaaaa.
nafurahi kwakua tunafanana mood.
yani Mimi n bora nisile mchana Ila niingie jf kwa kuweka bandle.
Nina mahaba ya dhati na jf
 
JF kwangu ni ugonjwa ambao nimeupa fursa yakunitafuna akili kila kunapokucha"" na wala sihitaji tiba
 
JF kwangu ni ugonjwa ambao nimeupa fursa yakunitafuna akili kila kunapokucha"" na wala sihitaji tiba

hahahah
hakika unaongea ukweli maana hata avatar inaonesha mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…