Usipohonga yakikukuta usilalamike

mtoa hoja ni mwanamke asiyejitambua....
 
Anawadanganya Wanawake Wenzake Ili Wasiolewe Kweli ----- Huyu
 
Mh!mimi ndo sijaelewa amaaa???mimi naona amenukuu.yani maneno si yake.ila kashambuliwa kavile yeye ndo kaitengeneza hyo article.japo amejitetea ila mmemcharukia kama vile yeye ndo mtunzi.
 
"baba anaonekana DON sana eeh au ulipata huu ushauri kutoka kwa mama baada ya kuachana na baba yako."

Wala wa kawaida though anajitambua toka nakua namuona akiamka alfajiri kutafuta mkate wa kila cku na kuhakikisha familia inasmama. Ndoa za cku hiz watoto wanalelewa na housgel baba na mama wako busy kuzisaka. Cjasema watu wawe magolkeeper bali watafute kpato kwa afya kwa kujua baba KICHWA CHA FAMILIA atamaliza the rest. Sio baba busy, mama busy io ndoa biashara? Nikifanya kaz huku najua kuna back up ya mume na upendo unawekuwepo napata pia muda wa kukutunza kama mkeo.
 
Mh!mimi ndo sijaelewa amaaa???mimi naona amenukuu.yani maneno si yake.ila kashambuliwa kavile yeye ndo kaitengeneza hyo article.japo amejitetea ila mmemcharukia kama vile yeye ndo mtunzi.

ELIMU nayo tatizo, wameendekeza kuquote without known wat does da action QUOTE means....kaaaz kweli kweli!
 
Hii ni hadithi ya sungura sizitaki mbichi hizi,inaonyesha mtu alipiga jiwe akitegemea ni mpira...toka ulimwengu unaumbwa HAIJAWAHI na HAITAKAA ITOKEE mwanamke akawa ni mshauri sahihi na sawa kwa mwanamke mwenzake katika ustawi wowote iwe ni kimahusiano au kiuchumi..hivi kati ya hela na upendo/mapenzi kipi kilitangulia kuzaliwa ili kiheshimiwe??
 
Wewe,look here!Wanandoa siyo b'ness partners kwamba mwisho wa siku mnashare gharama,faida na hasara.You're so mean sis!
 
Kwa kiasi kikubwa elimu inawatia ujinga sana wanawake wa nyakati hizi badala ya kuwapanua mawazo wanakuwa wajinga.....ile dhana ya kuwa ukimwelimisha mwanamke utakuwa umeelimisha jamii nzima, imeshapoteza maana....ikiwa wanawake wasomi ndio dizaini ya mtoa mada....
 
wamezid kupotosha eti kuvumilia UMASKINI ndo true love. Wanaume wameshndwa majukumu hawa. Baba zetu walkua wanaume haswaa....mama zetu walitulia nyumban wakatulea, bila hata stress.

Mpoleee ujinga wa Mange kimambi wa u-turn unauleta kwa GTs na kuupigia debe?u out of ur mind!Cc@nifah
 
Last edited by a moderator:
Kumbe napaswa kumhonga my wife, sawa!
 

Kuanzia Leo nimeanza kukuheshimu.nice comment
 

Nailed it
 

Watu wanajifariji hapa jf baada ya kupoteza muelekeo wa maisha ya ndoa.
Dada pole sana, na nina hakika wapo wanawake wenzako wanaokushangaa kwa ulichoandika.
 
Sio dalili huyu kesha shindwa anatafuta justification ya kushindwa kwake

Mkuu nime-comment kabla sijaisoma hii ya kwako nikagundua kuwa ulichokigundua kwa huyo dada ni kile ambacho nimekigundua. Hivyo nakubali kuwa huyu dada amepoteza mwelekeo wa maisha ya ndoa kwa kukosa alichodhani atakipata.
Naomba msimshambulie maana mtamuongezea matatizo ya nafsi yake bali apatiwe ushauri utakaomuweka sawa, Dada ana uchungu.
 
Watu wanalishwa "kauli mbiu" na watu ambao hatq wao hawako tayari kuaishi wanayoyatamka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…