Usipocheka lazima una madeni!

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,232
Mwalimu wa Historia
Mwl:Eeehe! Nam Alimuua Chifu
Mkwawa?
Mwnafunz wa 1:Aka sio mimi
Mwanafunzi wa 2:Wallah Sihusiki
Mwanafunzi wa 3:Kwanza jana ckuja.
shule,
Mwlimualipoona Wanafunz Wote ni Majuha akumuita
Mwl
Mkuu,Nae akawauliza kwa vitish wote kmya.
Ndpo
Mwl Mkuu akamnong'oneza"Mwl Una Uhakika Muuaji
Yupo Darasa Hili?
 


Walimu na wanafunzi wote CCM hao
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…