Usipocheka huna bandama (wengu)

Hapo mwisho mie nimeelewa kwamba anatumiss.some text are missing you too.
 
Hivi mapupu ni nini vile kwa kiinglish?

Kwani mapupu ndo yepi? Ni bandama au mapafu? Maana huwa
nasikia tu lakini siyajui vizuri. Anyway, kama ni bandama linaitwa
Pancreas, na kama ni mapafu yanaitwa lungs...
 
Kwani mapupu ndo yepi? Ni bandama au mapafu? Maana huwa
nasikia tu lakini siyajui vizuri. Anyway, kama ni bandama linaitwa
Pancreas, na kama ni mapafu yanaitwa lungs...
aah naona hii nayo ni confusion, Naonaga watu wanakula mapupu ya ng'ombe yako kama maini si maini, siponge si siponge halafu yana ladha fulani mi huwa siyapendi labda ndo mapafu.
 
Kwani mapupu ndo yepi? Ni bandama au mapafu? Maana huwa
nasikia tu lakini siyajui vizuri. Anyway, kama ni bandama linaitwa
Pancreas, na kama ni mapafu yanaitwa lungs...

mkuu bandama ni spleen,kongosho ndio pancrease!
 
Kwa kweli mi sijacheka naomba niende hospitalini naona nitakuwa sina bandama. we nanihiii.... aduwilly naomba unisindikize hospitali.
 
Last edited by a moderator:
kichaa wa tatu akamua kutunza repot yake kwenye pc bila kujua akajikuta ameiandika kwenye jukwaa la joke basi bwana wakati anaifanyia editing ghafla umeme uka........
katika kuja kustuka kumbe kajinyea mavi ya mbuzi.
 
Hapana kaka unakosea, pancreas kwa kiswahili huitwa kongosho na siyo bandama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…