Usipoangalia haya yanaweza kukuondolea unadhifu wako

Kutembea barabarani unasikiliza mziki kwene simu lako la mchina bila earphone
 
DSC_6329.jpg

Wakwetu hebu upige hizi mambo jumapili nikupitie twende kule Jembe.....agree?
 
Mwe uzi wa siku mingi ila una facts nyingi unakuta mtu kavaa vizuri ila ukimuangalia unagundua kuwa anakitu kaharibu hivyo nivitu vya kujifunza nimeona mtu kavaa nadhifu ila flana ya ndani inaonekana kifuani chafu! hata kama unamtokea demu akikuangalia anakushusha viwango!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom