Usipoangalia haya yanaweza kukuondolea unadhifu wako

kupanda na viatu juu ya seat ya choo cha kizungu
Kukojolea bila kuinua toilet seat cover na kudondoshea mikojo..
Kumwagamwaga maji ovyo kwenye choo ya kizungu hadi kinakuwa chepechepe...hili huwa linaniudhi mpaka basi!Si bora kama unatak akutumia maji bila ustaarabu uende choo cha kiasia?
 
kupanda na viatu juu ya seat cover ya choo cha kizungu
Kukojolea seat cover
Kumwagamwaga maji ovyo kwenye choo ya kizungu hadi kinakuwa chepechepe...hili huwa linaniudhi mpaka basi!Si bora kama unatak akutumia maji bila ustaarabu uende choo cha kiasia?

nice avatar...TM
 
-customer service hasa wa bank kujidai wako bize na computer huku wateja wakirudikana kwny folen
-Mtu mzma kusinzia kwny gar then udenda unakutoka kama bomba la maj
-Masharobaro kupiga mlegezo then mstari wa MASABURI kuwa nje nje
-kujidai hujasikia konda anapokuambia rudi nyuma na wenzio wapate nafasi
-kusinzia kanisan wakati kitanda umekiacha kwa hiar yako mwenyewe nyumba
 
Ku.jamba kitu cha uozo kwenye gari/ dala dala na kujifanya umesinzia ili watu wadhani labda haujielewi kwa usingizi wa pono.
 
Kuongea kwenye daladala kwa sauti kubwa na mwenzako ambaye yupo seat ya tano kutoka ulipo.
Aisee hii hata ukiwa umevaa vizuri vipi inakupunguzia credit!
 
Jamani mmesahau kitu muhimu! Kucheka mbele za watu huku una kisamvu au uju wa ulezi kwenye meno. Kunuka mdomo. Kua na kucha ndefu zenye uchafu ndani mithili ya mtu aliyelima kwa mikono. Kuvaa singlet wakati mivuzi ya kwapa ina ukoko Kuvaa undersketi ndefu kuliko sket au dress. Kua na matongotongo machoni

What a coincidence, nilipokuwa nasoma hii comment ghafla nikatizama mdada aliyekuwa anapanda daladala akiwa kavaa singlend, lahaula pembeni si nikamchunguza kama kashave... Uuuwuiiiiii kwapa halijashaviwa na lina ugoko huo!!!
 
Kuvaa kaunda suti huku tshirt inachomoza kifuani na mikononi

Kuvaa goggles usiku

kujazia sahani kama ugomvi kisa umealikwa shereheni

Kutokuwa wastaarabu kwenye chakula hasa mahoteli makubwa- umepangiwa sahani kuanzia bakuli ya supu, sahani ndogo za salad, sahani kubwa za chakula kikuu na kisha sahani//vibakuli vya dessert - badala ya kula kwa mpangilio huo, unapakua kila kitu na kujaza sahani hadi inafurika ( wali, viazi,salad , kuku, nyama ya ng'ombe, samaki, matunda, keki, ...loh!)

Google usiku labda zina polarised lens au sio Sunglasses
 
Hii thread imenipita vipi? Nilikua sijaiona aisee...
Kwa wanawake: kuvaa jeans na blouse ya kitenge
kwa wanaume: kuvaa chupi ya chuichui alafu ionekane. (or any chupi ya maandishi na michoro michoro)
Kwanza now that I think of it, hata isipo onekana ni noma tu.

Kama hiyo kwenye picha? Inamaana hujui African prints ziko kwenye fashion. Kweli we wakizamani
 

Attachments

  • 1417186149352.jpg
    1417186149352.jpg
    57.2 KB · Views: 245

Similar Discussions

Back
Top Bottom